jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
Mwanaume huwezi lelewa kama tunavyowalea wanawake.ukisema haya mambo yapo kila upande sikuelewi!
Mwanaume unafanyakazi ili ukidhi mahitaji ya familia yako.huku appreciation hakuna upande wa pili ndo unaonekana hujafanya kitu! kama wanawake wapo waache wajitetei kuliko mwanaume kusupport wanachokifanya!
Morning Bob Luse, nataka nikuambie hawa wanaume wapo tena nyakati hizi wamezidi. Pia sikatai unachosema ndo maana nimesema nakubaliana na yote na ni vizuri watu tukajitambua.
Kujitambua tu ndo suluhisho la mambo yote.
Asante Mkuu naamin hapa utanielewa.