Women are fun animals

Women are fun animals

Haya mambo yapo kotekote tu. Mwanaume unamkuta hana chochote unamsaidia unajinyima unampa hadi mtaji, wengine wanalipiwa hadi mahali na bado wanakutenda vilvile. Wanaume punguzeni kulalamika hata sisi yanatukuta mengi tu ila tunavumilia
tunataka kuwarudisha kwenye mstari! mmepinda sana nyie! toka enzi za ADAMU na HAWA
 
Malalamiko yako yote mkuu yapo katika hivi vitu vitatu

Unresolved conflicts

Unrealistic expectations

Unconscious neglect ......

hakuna kiumbe asiye na matatizo ila anapobadilika tabia kuna moja ya hayo mambo matatu niliyoyataja ndio chanzo
cha matatizo awe mwanaume au mwanamke
 
Hadi sasa ndoa ni mkataba ukizinguliwa nenda mahakamani kavunje uwe tayar na kugawana Mali tu basi.
 
Ukitaka ufurahie maisha na wanawake basi usioe,mwanamke mzuri ni yule ambaye hujamuoa na wakati mzuri ni ule ambao hujaoa.leo umemtamani huyu,kesho unatoka na yule etc hapo ndo tutaona raha ya mwanamke manake kila mwanamke ana utamu wake.ukishaoa tu baba,utamu kwishney
Ukioa umepotea kwenye ramani..Acha nile ujana...
 
Kwenye mali hapo ndio shida,mwanaume akikumbuka tu 50/50 anaona avumilie tu
tatizo ushiriki wenu kwenye kutafuta mali unautata! nchi zingine wanawake wanapiga kazi inaonekana
 
duh! uzi mtamu huu, watu wanakula like tu, sijui na mimi nitapata kalike hata kamoja, teh!
 
tatizo ushiriki wenu kwenye kutafuta mali unautata! nchi zingine wanawake wanapiga kazi inaonekana

Na hayo ndio maagizo ya Mungu kuwa mwanaume utakula kwa jasho lako na mwanamke utazaa kwa uchungu.

Labda kama unataka ubadilishiwe majukumu
 
Na hayo ndio maagizo ya Mungu kuwa mwanaume utakula kwa jasho lako na mwanamke utazaa kwa uchungu.

Labda kama unataka ubadilishiwe majukumu
asa jasho langu tugawane nusu kivipi? jirani zetu Kenya hapa.mwanamke anagawiwa kwa kiwango alichochangia katika huo uchumi sio vinginevyo.
 
asa jasho langu tugawane nusu kivipi? jirani zetu Kenya hapa.mwanamke anagawiwa kwa kiwango alichochangia katika huo uchumi sio vinginevyo.

Hapa ni tz na sheria ndio inasema hivyo

Oa hafu katisha mkataba ndio utajua hapa ni kenya au tz
 
Hapa ni tz na sheria ndio inasema hivyo

Oa hafu katisha mkataba ndio utajua hapa ni kenya au tz
wala sijapinga mkuu! it is understandable.ajabu wanaume wenzetu ndio wametutungia sheria kandamizi.
 
A PERFECT Mariage requires a PERFECT Husband and a PERFECT Wife
And I will tell you what i think
A perfect Husband is the one who does not expect his wife to be perfect, likewise a Perfect wife is the one who does not expect her husband to be perfect.

Our expectations kills our minds, feelings, love and more seriously affects out thinking about Ndoa... TAFADHALI Stop expecting much then and You have all your peace.

We are never finished products... we need to reinvest our focus on making each other better tirelessly... but as much we have this misconception that marriage is full of joy other than the joy and harmony we are ought to build ourselves?.. we'll never get satisfied.... SO we should make our minds right. Its our responsibility..... Ndoa ni muunganiko wa watu wawili only, hivyo vingine tunavijenga sisi kwa juhudi za makusudi.
cc Heaven Sent
Ana heri kubwa aliye na wewe.......
 
wewe mume wako unamdharau?!! soma vizuri uelewe mada nzima.usikurupuke kwa kusoma misitari miwili! angalia hiyo comment imetokana na nini? mchangiaji alidai anapangiwa marafiki! awaache school mate wake.unaona sawa?

Hivi unajijua kua ni bumbuna?
Sijui umetoka pori la wapi ambako hakuna mwanamke alieenda shule, hakuna mwanamke kiongozi, mwenye uchumi mzuri. Hivi hata shule ulikopita uliishije nao?
Tena usinijibu nitakutemea mate ya uso ujue kuna wanawake jeuri wa kukunyoosha.
 
Back
Top Bottom