Women are fun animals

Women are fun animals

Mkuu, nimshuhudia wa mama wengi wamepoteza maisha kwa ajli ya watoto na waume zao. Wanavumilia mateso ambayo sidhani mimi kama ningestahimili. Ukiuliza ni kwa nini anakuambia "Watoto wangu". au "Sasa ni Mume wangu, nitafanyaje?".

Haijalishi ana scnario gani, mwandishi ni juha. Hakupashwa kusema woman are fun animals bila hata chembe ya ubinadamu wa kuthamini mchango wa wanawake na hasa mama yake kwenye uwepo wake hadi leo anaandika upumbavu huu.

Ajifunze kutumia maneno sahihi badala ya kuonyesha ushetani wake wakiwaita waliomfanya awe hai hadi sasa kuwa ni wanyama. Hivi yule mama yake angelikuw amnyama akamtoa mimba yake, au alilpomzaa akamziba pua, leo angelikuwepo? Hana shukrani kwa Muumba huyu. Kaniudhi sasa kwa lugha zake za matusi kwa wa mama huku akijiamini kama shetani dhaifu.

Nisamehe kiongozi!.
ongeza elimu uwe na uwezo wa kuelewe mijadala badala ya kukurupuka! ningeandika kitu ambacho hakipo ningekosolewa na kutukanwa na wachangiaji wote! lakini kwakuwa ni wewe tu ambaye umefikiria namaanisha wanawake ni wanyama wa mikumi! pole
 
Huna akili, utamwitaje mtu .animal. ndo kisomo chako hicho, acha wakukomeshe.
usiposoma biology huwezi jua kama binadamu wote tupo ktk group la wanyama wanyonyeshao.pole
pia huwezi kujua kama ni msemo!
 
Nakubaliana na maelezo yako lakini naomba urekebishe title ya uzi wako. Women are not animals, they are human beings just like you and I.
sina haja ya kurekebisha uzi kwakuwa huo ni msemo wa kiingereza,kama una uchache wa kiingereza siwezi kukulazimisha uchangie.usi judge mada kwa kuangalia title
 
Jitahidi kuandika kama mtu unayetumia akili...
Kumbe hii thread ulitaka wacomment watu wanaokusuport tu...
Heshimu mawazo ya mtu,watu tunatofautiana period siwezi andika unachotaka wewe,and from my perspective I said what I said na sitabadilisha
Sio lazima uanzishe thread kama huwezi kutumia lugha sahihi we are not animals that's disrespectful cha pili sio lazima uanzishe thread if u ain't ready for critics
Nice day
i wish it was a criticism but what you ended up here portraying is how poor you are with English language......i never used animals in my topic title to refer wild animals in MIKUMI so please give me break.
 
matatizo yapo pande zote mbili si wanawake wala wanaume naona kama ndoa zimekuwa timming tu siku hizi akikuwahi anakufanya fala ukimuwahi ndo hivyo pia ni kuomba mungu tu umpate mtakae kuwa nae sawa
 
Nyumba yako! gari lako! hela zako! unaanzeje kupangiwa hapo kwa mfano! mwenye pesa lazima aheshimiwe ati.
Bob Luse kwenye ndoa hakuna (vyako ) kuna vyenu wewe na mkeo. Kwahio hapo rekebisha
 
Bob Luse kwenye ndoa hakuna (vyako ) kuna vyenu wewe na mkeo. Kwahio hapo rekebisha
inategemeana kama umenikuta navyo utadai vyote vyetu?! labda kwa sheria za Tanzania.nchi zingine zinaangalia mlivyochuma wote.mfano nimerithi nyumba ikitokea tunaachana sidhani kama itakuhusu.pia ndoa za kiislamu usitegemee sana mali zaidi ya kifuta jasho.
 
mhhh hivi ni kwa ke tu au pia kwa me.

vyote ulivyosema hapo juu nakubaliana navyo ila kubali viko pande zote mbili.

Hivi hamuwezi kukaa siku hata moja bila kulalamika kuhusu ke? usifikiri sisi hatuwezi kusema ila wakati mwingine tunaona viko pande zote mbili so inabidi tujiongeze tu.

Please baadhi ya wanaume mnatakiwa mjiongeze na mjue hizi facts ziko pande zote na la msingi ni kupambana. kukimbia tatizo sio suluhisho bali kupambana na tatizo na kutafuta suluhisho.

Mtoa mada TAFAKARI THEN CHUKUA HATUA.
baadhi zaweza kuwepo ila ninyi mna matatizo.wanawake wengi hamjui mkitakacho
 
ku
inategemeana kama umenikuta navyo utadai vyote vyetu?! labda kwa sheria za Tanzania.nchi zingine zinaangalia mlivyochuma wote.mfano nimerithi nyumba ikitokea tunaachana sidhani kama itakuhusu.pia ndoa za kiislamu usitegemee sana mali zaidi ya kifuta jasho.
na mahali una pointi sana lakini nahisi kama ni mbinafsi au una roho mbaya.
 
Nakubaliana na wanaume wenzangu waliofikia hitimisho kuwa ni rahisi kupata mali ukaimiliki na kufurahia maisha kuliko kupata mwanamke ukafurahia maisha.

Japo mpango wa Mungu ni wanaume waoe na waishi na wanawake kwa akili lakini hawa viumbe ni tanzi! unaweza ukafikiria uoe kijijini,ukimleta mjini anakuona wewe uliyemuoa ni fala! unaweza ukaoa mjini ukaonekana unamapungufu kulinganishwa na wenzio! ukionyesha upendo mkubwa na kujari unaonekana umedhibitiwa! ukijitutumua kuwa kauzu unaonekana gaidi!.

Una mpromote mwanamke kutoka maisha ya chini akiwa anasoma/hana kazi ya maana, akikamata channel anasahau hata alikotoka! ukimtendea wema leo mwezi ujao/kesho usipofanya wema kama huo unaonekana hujari/ huna faidi, mazuri yanafutwa!
Sijawahi kusikia mwanaume asiyekili changamoto za hawa mama zetu/Dada zetu.Naamini kuna wakati huwa hawajui wanachokitaka toka kwetu sisi wanaume!
hata wanume ni majitu ya ajabu,unakuta jitu mmeanza nalo mnalala chini linajishaua linakupendaaa we mkipata tu na ye akawa ana uwezo wa kutembea amekaa basi shida tupu unaweza hata kuombea umasikini,haya motto wa kike utajiweka vizurii wee nimpendeze mume wangu lakini bado linachepuka afu mwangalie huyo anayechipuka naye sasa ni ngachoka,haya motto wa watu utajiipinda umpe mahaba ya dhati tena ujitume bado unakuta linakusaliti,hivi kuna watu kweli hapo kama sio mazombie tu?????????????
 
Hao ni mabazazi kwenye jamii wapo pia wengi akipata hela hata kama hajui kizungu ataongea
 
Hao ni mabazazi kwenye jamii wapo pia wengi akipata hela hata kama hajui kizungu ataongea
sasa ndo uone mkuu hakuna haja ya kujiulizsha wanawake ni wanyama wa aina gani illhali hata wanaume vimeo wapo wengi sana tu tena ni wengi kuliko aina ya hao wanawake uliowataja,halafu mwanaume ukiteseka kwenye mahusiano unakuwa umejitakia kwani you have the power and decision as well
 
yap.lengo hasa ni kuburudishana na kushea uzoefu......sio kudhalilishana,any way
 
sasa ndo uone mkuu hakuna haja ya kujiulizsha wanawake ni wanyama wa aina gani illhali hata wanaume vimeo wapo wengi sana tu tena ni wengi kuliko aina ya hao wanawake uliowataja,halafu mwanaume ukiteseka kwenye mahusiano unakuwa umejitakia kwani you have the power and decision as well
Yaan Blue G ningekuwa karibu ningekununulia soda mtu wangu, unajua baadhi ya wanaume wa siku hizi sijui niseme ni hizi chips mayai zinawalemaza, kutwa kulalama tu huku angali hata Mungu aliwapa big priority in their life.

Big up Blue G kwa kufafanua zaidi.
 
Back
Top Bottom