BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
- Thread starter
- #121
kuna ujinga watu wana develop humu jf! mtu akitoa fact ili watu waelimishane na kubadilishana uzoefu mnaita kulalamika! what idid on this topic is giving my observation for people to come up with their opinion.....malalamiko hayawezi kuletwa hapa na sio kila unachosoma ni malalamiko! so dont underrate menYaan Blue G ningekuwa karibu ningekununulia soda mtu wangu, unajua baadhi ya wanaume wa siku hizi sijui niseme ni hizi chips mayai zinawalemaza, kutwa kulalama tu huku angali hata Mungu aliwapa big priority in their life.
Big up Blue G kwa kufafanua zaidi.