Mnyabwilo
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 720
- 256
Yaani ni pasua kichwa! wanajifanza wao ndio wenye akili sana na busara sisi zero!
Mimi uwa nawapuuza tu maana sitaki stresss aiseee
Yaani ni pasua kichwa! wanajifanza wao ndio wenye akili sana na busara sisi zero!
unaoa mwanamke anaanza kukupangia maisha na boom ni lako!
Namna ya kupambana ndipo ilipo shida mkuu. Maana kila ulifanyalo mwenzako ajionea tabu. Hata ufanye nini mwenzako haridhiki.Please baadhi ya wanaume mnatakiwa mjiongeze na mjue hizi facts ziko pande zote na la msingi ni kupambana. kukimbia tatizo sio suluhisho bali kupambana na tatizo na kutafuta suluhisho.
Mtoa mada TAFAKARI THEN CHUKUA HATUA.
Hapo kwenye red, msaada unahitajika tutani. Wengi hatuelewi maana ya ujumbe huo.''Ishini na wake zenu kwa AKILI''.
.
my Tized, na- summarise point yako hapo juu..there is nothing like a perfect man/ woman or a perfect relationship. We just need to accept kwamba there is only a "good enough man/ woman". Itatuweka kwenye mentality nzuri ya kuelewa kuwa "ndoa ni muunganiko wa watu wawili wenye mapungufu". So kila mmoja yupo kufukia mapungufu ya mwenzake. We just need to see each other on an even knee. From there hatutokuwa na too much expectations, kama ulivyoongea hapo juuA PERFECT Mariage requires a PERFECT Husband and a PERFECT Wife
And I will tell you what i think
A perfect Husband is the one who does not expect his wife to be perfect, likewise a Perfect wife is the one who does not expect her husband to be perfect.
Our expectations kills our minds, feelings, love and more seriously affects out thinking about Ndoa... TAFADHALI Stop expecting much then and You have all your peace.
We are never finished products... we need to reinvest our focus on making each other better tirelessly... but as much we have this misconception that marriage is full of joy other than the joy and harmony we are ought to build ourselves?.. we'll never get satisfied.... SO we should make our minds right. Its our responsibility..... Ndoa ni muunganiko wa watu wawili only, hivyo vingine tunavijenga sisi kwa juhudi za makusudi.
cc Heaven Sent
I couldn't agree more....Tatizo kubwa ni kuwa watu wengi wanachulia NDOA kama package/Box lililojaa kila jema... huku wakisahau wao ndio wana wajibu wa kujaza hilo ''empty'' box yale mazuri wanayoyataka wao. Upendo, ustahimilivu, intimacy, urafiki n.k
Ndoa/mahusiano ni Boksi Tupu, Lazima uweke kitu kwenye hilo Box ili uweze kuchukua kitu.
Utasikia watu wakisema huyu ni husband/wife material... so inamanisha bado kuna kazi ya kufanya ili mtu awe finished product from the materials.....
upande wangu sikubalian na mawazo yako. kuna wanaume ukipewa kwa siku moja utataman ardhi ipasuke ujizike mwenyewe. wanakuwa pretender balaammmhh! hapa kila mtu atatetea upande wake ila hata kama yako pande zote wanawake mmezidisha
kweli hawa sio ndugu.zetu! ndo maana akiamua kukubadilikia hakumbuki yote uliyomfanyia in the name of love! hata kumuita rafiki nako haifai kwani urafiki wao ni wa mashaka..........wanaume wengi wanakufa na tai zao shingoni lakini vibano vya wanawake wanavyo! ndo naana katika magari kumi yakipita kwenda kazini yenye mke na mume au bae na boo moja tu ndio utaona tabasamu na vicheko! tena hilo ni penzi changa.wengine ndita! ndo kuishi kwaakili huko?!!Cha msingi ni kuomba tu mungu hudumu ktk ndoa yako,nakumbuka pindi nilipokuwa mdogo niliskiwa watu wakisema kuwa mwanamke ni rafiki tu siyo ndugu yako,sikuwa njua maana yake(-------------) , mushike sana mungu atakusaidia.
Uhuni tu!! Huna loloteUkitaka ufurahie maisha na wanawake basi usioe,mwanamke mzuri ni yule ambaye hujamuoa na wakati mzuri ni ule ambao hujaoa.leo umemtamani huyu,kesho unatoka na yule etc hapo ndo tutaona raha ya mwanamke manake kila mwanamke ana utamu wake.ukishaoa tu baba,utamu kwishney
Uhuni tu!! Huna lolote
Hah..worry not hujaniudhi kaka, nmeshaangaa tuNilijua siyo kila mtu atakubaliana na Mimi but If u know what I real meant. There is sweetness in women but you can't enjoy if u r married
Sorry miss jf
Teh teh teh blaza una user manual ya ndoa?''Ishini na wake zenu kwa AKILI''.
Tulishapewa tahadhari mapema... ukiona unaishia kulalamika, jua umeshindwa kufuata 'Manual' ya mwanzilishi wa Ndoa.
Ukiwa open book kwa mwanamke(mr Nice), life becomes less interesting and more predictable. We should not pretend to be who we are not.
Hah..worry not hujaniudhi kaka, nmeshaangaa tu