Women are fun animals

Women are fun animals

''Sisi'' tunakufa na tai shingoni kiume 🙂
Sikutakii heri ya mwaka mpya wala nini.
jamani Tized upo wewe? nimefurahiiiiiiii mno kusikia kutoka kwako,siwezi kukupa heri ya mwaka mpya for reasons Tized sema I cant promise when I will tell kwa sababu nakumbuka bado nilikuahidi evidence juu ya trinity nikimaliza hilo nakutajia na hilo pia
 
Brenda huyu jamaa kachafukwa kabisa, ingekuwa ni topic tu kaleta ya kuchangia asingetoa mapovu yote hayo kwa michango tu ya kawaida. sasa mimi kutaka kumpa Blue G soda imemuuma nini?? agrrrrr njoo huku Blue G unambie kama nimekukwaza maana nili - quote wewe. Blue G
wala hata mami just relax me niko poa kabisa
 
unaoa mwanamke anaanza kukupangia maisha na boom ni lako!
Tatizo lenu wanawake mkifikishwa Canaan toka utumwani Misri mnamsahau ata aliyekuleta!.anaishia kupangiwa maisha! mnaficha sana makucha mwanzoni mwa mahusiano! ukiwa na uhakika na ukipata na application zingine inakuwa ni sheeda
Yaani ni pasua kichwa! wanajifanza wao ndio wenye akili sana na busara sisi zero!
tatizo ushiriki wenu kwenye kutafuta mali unautata! nchi zingine wanawake wanapiga kazi inaonekana
asa jasho langu tugawane nusu kivipi? jirani zetu Kenya hapa.mwanamke anagawiwa kwa kiwango alichochangia katika huo uchumi sio vinginevyo.
OK kumbe huyu jamaa alipata mwanamke, akamsaidia kipesa, mwanamke akatoka. Sasa huyu sijui alitegemea mkewe awe kichwa kuinama? Naona mambo yameenda tofauti na mategemeo. Kumuacha huwezi!!!! Hahaha jitolee stress zako JF mwaya.

Hivi hii thread ya ngapi umeanzisha eti?
 
The worst and most horrible animal is ONLY YOUR MOTHER, wengine hawakuhusu kwa sababu unaweza kutokushirikiana nao kwa lolote. Mwambie huyo aliyekubeba tumboni kisha akakuita mtu asijue kama kazaa mnyama!.
I second you. Mama yake mleta Mada ndo mnyama.

Kama huyo mwanamke aliyenaye anamsumbua ana uwezo wote wa kumuacha. Kwa sababu zake Binafsi hawezi . Basi kabaki na msongo wa mawazo tu na kutukana wanawake...
 
I second you. Mama yake mleta Mada ndo mnyama.

Kama huyo mwanamke aliyenaye anamsumbua ana uwezo wote wa kumuacha. Kwa sababu zake Binafsi hawezi . Basi kabaki na msongo wa mawazo tu na kutukana wanawake...
Nilitaka kujibu nilijua mama mwenye nyumba kumbe HOUSE GIRL! Nawaachia MAHOUSE BOY WAJIBU
 
Tatizo kubwa ni kuwa watu wengi wanachulia NDOA kama package/Box lililojaa kila jema... huku wakisahau wao ndio wana wajibu wa kujaza hilo ''empty'' box yale mazuri wanayoyataka wao. Upendo, ustahimilivu, intimacy, urafiki n.k

Ndoa/mahusiano ni Boksi Tupu, Lazima uweke kitu kwenye hilo Box ili uweze kuchukua kitu. Upendo haupo kwenye ndoa, upo kwa mtu/watu na watu lazima waweke upendo kwenye ndoa, Hakuna romance kwenye ndoa, watu lazima ndio wana uwezo huo wa kuitengeneza, Na mengineyo mengi kama kujaliana, tabia ya kutoa, kuheshimiana, kuchukuliana, kuthaminiana n.k... yote hayo watu ndio wanayaweka kwenye ndoa. So we have much to do to our marriages that what we should expect out of it...... kwani ukona mkeo hakuappreciate unakatazwa kumfunda umuhimu wa kumuappreciate mwenzake... tena its simple.. appreciate her first and atakurudishia even more,,, ikishindikana devise other strategy hadi ifanye kazi.

Utasikia watu wakisema huyu ni husband/wife material... so inamanisha bado kuna kazi ya kufanya ili mtu awe finished product from the materials.... how do someone expect material to be finished products by its raw state? We have a lot to do to redifine our engagements and our relationships, I tell you.
Very True
 
A PERFECT Mariage requires a PERFECT Husband and a PERFECT Wife
And I will tell you what i think
A perfect Husband is the one who does not expect his wife to be perfect, likewise a Perfect wife is the one who does not expect her husband to be perfect.

Our expectations kills our minds, feelings, love and more seriously affects out thinking about Ndoa... TAFADHALI Stop expecting much then and You have all your peace.

We are never finished products... we need to reinvest our focus on making each other better tirelessly... but as much we have this misconception that marriage is full of joy other than the joy and harmony we are ought to build ourselves?.. we'll never get satisfied.... SO we should make our minds right. Its our responsibility..... Ndoa ni muunganiko wa watu wawili only, hivyo vingine tunavijenga sisi kwa juhudi za makusudi.
cc Heaven Sent
Ni kweli kuna baadhi akioa anaona ameoa malaika yaan uote anavovipenda yeye hutakiwa kukosea wakati you have to understand each other tujifunze kufanya vile tunavopenda kufanyiwa kwa wenzetu kwanza kabla ya kudemand wewe kufanyiwa
 
Back
Top Bottom