Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,593
- 30,451
Habarini za saizi !!!!
ndugu zangu wote waliokutwa na janga kama lanngu nimeona
niwadokeze haya ili muwe makini msijeona kampuni zikishindwa kujiendeleza
kuna wizi mwingi sana katika mashirika yetu ya umma wakati mwingine nikijiuliza hivi utouh yupo au alikuwa nguvu ya soda?????????
kumekuwa na kamradi kachafu cha hawa wanaoojita wanasheria wa kampuni kwa kushirikiana na ma HR OFFICER hasa kwa kesi ambazo wanajua kabisa wanashindwa ama wakishashindwa wanaenda kuwalagai MA director wao kwamba pale tunashinda tukiappeal wakati uhongo mtupu hapo ndipo mgao unapoanaza kulika kama auna akili nzuri!!!!1!!
hivi majuzi kumekuwa na ndugu yangu amepata matatizo katika shirika moja la anga na kupeleka kesi ile mahakamani mpaka kwa waziri!!!kila walipopita waliweza kushinda nakuamriwa kurudi !!!1ila kutokana na mungu si athumani akatokea msamaria mwema mmoja katika kampuni wanayotumia ya wanasheria kuwakilisha kampuni hiyo na kuongea haya yafuatayo!!!!
niko mbioni kumuona mojkwa moja mheshimiwa anaeongoza kampuni na kumwelekeza hali halisi
Ndugu yangu za siku nyingi ???nimeliona faili la ndugu yako kule ofisini
naona jamaa wanatumia kampuni yetu kwenye hiyo kesi kaka yangu wewe tumesoma sehemu mmoja ndugu yangu wa karibu mimi ni mwanasheria nakuarifu tu huyo jamaa amekuwa akitumia kampuni yetu kula hela zenu mara kwa mara kuna kesi nyingine tunaogopa na kumshauri bosi hapo tutaliwa na kweli tunashindwa siku ya mwisho lakini jamaa anarudi kwetu na kuomba tuappeal!!!!hivi sasa nimesikia ameaapeal tena na nina uhakika anaendelea kula helan zenu muwe makini kwa hili mtakufa na umasikini yeye anachofanya anaongea na hr officer wanakubaliana kumdanganya bosi wao kesi iko poa
haka kamradi ndicho kanaua makampuni ya umma jamani pccb tuuangalie sana kila wanasheria wa mashirika haya!!!!!
tuangalie sana BOT,,,TTCL,,,TANESCO...ATCL...