Wizi Wa Wanasheria Na Mashirika Ya Umma

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Habarini za saizi !!!!
ndugu zangu wote waliokutwa na janga kama lanngu nimeona
niwadokeze haya ili muwe makini msijeona kampuni zikishindwa kujiendeleza
kuna wizi mwingi sana katika mashirika yetu ya umma wakati mwingine nikijiuliza hivi utouh yupo au alikuwa nguvu ya soda?????????

kumekuwa na kamradi kachafu cha hawa wanaoojita wanasheria wa kampuni kwa kushirikiana na ma HR OFFICER hasa kwa kesi ambazo wanajua kabisa wanashindwa ama wakishashindwa wanaenda kuwalagai MA director wao kwamba pale tunashinda tukiappeal wakati uhongo mtupu hapo ndipo mgao unapoanaza kulika kama auna akili nzuri!!!!1!!
hivi majuzi kumekuwa na ndugu yangu amepata matatizo katika shirika moja la anga na kupeleka kesi ile mahakamani mpaka kwa waziri!!!kila walipopita waliweza kushinda nakuamriwa kurudi !!!1ila kutokana na mungu si athumani akatokea msamaria mwema mmoja katika kampuni wanayotumia ya wanasheria kuwakilisha kampuni hiyo na kuongea haya yafuatayo!!!!
niko mbioni kumuona mojkwa moja mheshimiwa anaeongoza kampuni na kumwelekeza hali halisi

Ndugu yangu za siku nyingi ???nimeliona faili la ndugu yako kule ofisini
naona jamaa wanatumia kampuni yetu kwenye hiyo kesi kaka yangu wewe tumesoma sehemu mmoja ndugu yangu wa karibu mimi ni mwanasheria nakuarifu tu huyo jamaa amekuwa akitumia kampuni yetu kula hela zenu mara kwa mara kuna kesi nyingine tunaogopa na kumshauri bosi hapo tutaliwa na kweli tunashindwa siku ya mwisho lakini jamaa anarudi kwetu na kuomba tuappeal!!!!hivi sasa nimesikia ameaapeal tena na nina uhakika anaendelea kula helan zenu muwe makini kwa hili mtakufa na umasikini yeye anachofanya anaongea na hr officer wanakubaliana kumdanganya bosi wao kesi iko poa

haka kamradi ndicho kanaua makampuni ya umma jamani pccb tuuangalie sana kila wanasheria wa mashirika haya!!!!!

tuangalie sana BOT,,,TTCL,,,TANESCO...ATCL...
 
It has not been possible for me to understand the " case" you are making.......
fafanua tafadhali
 
this guy is a layman who doesn't know legal procedures, and he argues according to his knowledge. i would advice him to consult any legal officer he trusts,to explain to him how legal procedures go in court. asichukue uelewa wake wa profession nyingine kwenye procedures za mahakamani.
 
Jamaa ana point ila ameshindwa kuiweka wazi/sawa ieleweke... inaelekea kuna conspiracy between the HR na Company secretary kutumia outside lawyers ku represent the company in a supposedly employment matter ( termination or dismissal)...kichekesho ..iweje uongozi wa kampuni usihoji the usefulness of having an inhouse lawyer na badala yake wa outsource legal services.Inawezekana the inhouse lawyer hajaqualify as an advocate with a standing to appear in court... lakini kwa ulimwengu wa sasa ambapo ma advocate wamejaa tele ni kamapuni gani inaajiri mwanasheria ambaye hajafanya bar exam? na isitoshe huyo MD anayekubali kutoa pesa wakati kesi wanashindwa ni wa ajabu basi! Na huyo Company secretary wao ni bomu inafaa afukuzwe kazi mara moja for incompetency!
 
niandikire Vizuri katika E-mail yangu mkomboziufisadi-at-yahoo-dot-co-dot-uk,nadhani unaongelea ATCL..usimuogope Mahanga aliyewapigha Mkwara kutupa habari wakati Phd yake Feki tu..wewe ulishawahi kuona mtu anadiploma anasoma PhD.|?
 
this guy is a layman who doesn't know legal procedures, and he argues according to his knowledge. i would advice him to consult any legal officer he trusts,to explain to him how legal procedures go in court. asichukue uelewa wake wa profession nyingine kwenye procedures za mahakamani.

I am here and I think this is what you need.Unataka legal procedure on which of the below grounds.Am here to serve you say it and your wish will be granted.

The Role and Structure of Courts

The Role of Judges

The Role of Juries

Grand Juries

Trial Juries

Judicial Independence
 
niandikire Vizuri katika E-mail yangu mkomboziufisadi-at-yahoo-dot-co-dot-uk,nadhani unaongelea ATCL..usimuogope Mahanga aliyewapigha Mkwara kutupa habari wakati Phd yake Feki tu..wewe ulishawahi kuona mtu anadiploma anasoma PhD.

Inategemea aina ya diploma unayozungumzia, kama ni Advanced Diploma kwa mfumo wa zamani uliokuwa unakubalika Tanzania, iliwezekana Advanced Diploma holder kwenda kufanya M.Sc. na baadaye anafanya PhD. Na wapo watu wengi waliosoma kwa mfumo huo. Kwa ninavyoelewa Mahanga ana Advanced Diploma ya kilichokuwa kinaitwa Ardhi Institute (baadaye kikawa UCLAS na sasa Ardhi University). Vyeti vya Advanced Diploma za Ardhi Institute wakati huo vilikuwa vikitambulika na vyama vya Kitaaluma vya hapa Tanzania na Jumuia ya Madola as "equivalent to first degree". Hivyo, iliwapa sifa ya kufanya M.Sc. katika nchi zinazotambua qualifications hizo kama Uingereza, Australia, New Zealand, USA..n.k.

Kumbuka pia kwamba not every "Advanced Diploma" certificate was recognition as equivalent to first degree. This exception was for Ardhi Institute Advanced Diplomas only based on its recognistion by commonwealth professional bodies like Commonwealth Association of Surveying and Land Economy (CASLE).

Kwa hiyo kwa maelezo ya ziada labda mtoa hoja atuwekee CV ya mahanga tuone academic qualification yake.
 
Last edited:

hata ikiwa advanced Diploma ni sawa na digrii bado PHD yake ni ya mashaka sana nadhani ameipata ndani ya mwaka mmoja na online.
vyuo vingi havichukuwi mtu mwenye master asiye na digrii kufanya PHD. yuko Salva Rweyemamu ambaye ana masters na hana digrii alitaka kufanya Phd akakataliwa kuwa lazima awe na digrii.

Phd FEKI wanazo wengi,NCHIMBI,KAMALA,NAGU,MAHANGA,PINDI CHANA N.K na walimu wengi wa Mzumbe University wana phd feki wakiongozwa na Warioba aliyekuwa VC wao.
 
Mgggk,

Kama hawa wote wana vyeti feki basi tunatengeneza kizazi cha kisanii sana hapa.

Ila nafikiri wanaoweza kumsaidia huyu bwana kwa shida yake ya kisheria amsaidie, pia naona kapewa email hapo juu angeanza mawasiliani mara moja.
 
Back
Top Bottom