Wizi wa matela CRDB

Mimi nimedhulumiwa kwa mtindo huo na muuza supu, we acha tu inaumaa!
 
Ungelianzisha fifte kubwa
 
Kwahiyo umekuja humu kujisifu kuibiwa?!
 
Pole aisee
 
Sipingi unachosema lakini uwasilishaji wako unaweza ukawa unawadhalilisha wahusika.
 
Sipingi unachosema lakini uwasilishaji wako unaweza ukawa unawadhalilisha wahusika.

Hadhalilishwi mtu mkuu... Sasa unaibia mtu 10,000 ambayo hujui kaipataje kama si njaa kali ni nini?? Mbona waizi wa CCM wanatukanwa sana humu hao tellers kwanini tuwavumilie na hiyo tabia yao mbovu??
 
Ishanitokea kama mara mbili teller moja hivi pale Tanga CRDBBB
Kuna siku nikamuwekea mtego ikabdi aniombe msamaha

mikatabafeki unachokisema ndio ukweli mtupu kwa pale Tanga CRDB, kuna jamaa zangu kama watatu kwa nyakati tofauti tofauti waliwahi kuniambia kuhusu huyo Teller.
 
Last edited by a moderator:

Hii sio sababu ya kuiba pesa ya mteja.
 
Hadhalilishwi mtu mkuu... Sasa unaibia mtu 10,000 ambayo hujui kaipataje kama si njaa kali ni nini?? Mbona waizi wa CCM wanatukanwa sana humu hao tellers kwanini tuwavumilie na hiyo tabia yao mbovu??
Maisha mzee.
 
Mkuu pole una hela hamsini unapotezea?

Ila pale mbezi louis kuna kadada keupe kana dharau. Hanifurahishi. Ila kila mmoja na maisha yake ofisi yake ana nyanyasa na wengine mweee. Anyway ndio maisha haya ya duniani.
Jioni njema wanajf.
 
Crdb Mwanza pale Mwanza hotel kuna type ya watu hawa...ngoja wataniona nshasoma mchezo m huwa nahc ninakoseaga kumbe?
Wanajifanya wana maisha mazur kumbe story tu...
 
Teh teh teh usikumbushie mkuu watakuja kunishambulia hapa..

Atakae kuja kukushambulia tu utajua ni teller, na itampa machungu ya kutafuta pesa kwa nguvu hizi kazi awaachie dada zake. Hapa watakupongeza kwa kuwafungua macho.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…