SOGHOO
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,268
- 568
Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.
Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.
Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.