Mwingine alinikuta napata zangu matunda sehemu moja hapo mwanza Kijana kama unavyomuelezea mtanashati..akaanza ooh ndugu samahan mimi mwenyeji wa moshi hapa nimeibiwa kila kitu kwenye Hice mpaka na simu yangu Samsung S9..hivyo naomba nauli tu na nilikuwa naenda hko Kahama mgodini..mmh, nikamuuliza tu Kwan hyo simu uliibiwa ilikuwa wapi? Ooh niliiweka kwenye carrier ya hice!!!..mmh nikamwita Mhudumu nikamwambie mhudumie huyu jamaa msosi..ila Pesa ya kukupa mimi sina, jamaa kuskia hivyo huyooo.. akateleza zake ananambia sikulazimishi kunisaidia kama hutaki acha..nikajua ndo wale wale tu