Wizi nyumbani kwangu Mbezi Beach

Wizi nyumbani kwangu Mbezi Beach

Thanx for this crucial info ambayo sijaweza kuipata popote tangu nilivoibiwa.inashangaza sana.ila km ina maujuzi mengine sio vby ukashare na sisi wengine itusaidie ktk kupambana ana hawa wahalifu.pamoja sana mkuu

suspect wa kwanza
 
mnqlqaq smu ;laptop dirishamn wazifanyeje mbaya wabakuachia na ;mti dirishan uliotumika kubebea mali ;m nilikuta begi ya kazinoi imejaa makaratasi iko nje wamemwaga makaratasi yote wamesukuma kioo wakatanua chuma mti ukaingizwa basiii nahs n ga;me na mfanyakazi wa ndan maana wanachukua kama walihifadhi


Masalia ya mama ndalichako haya...
 
Pole Mkuu! Nadhani wakija tena wataondoka na hiyo Basitola.

Ma..maeee eti ndio waje mpaka waibe na ulinzi wangu? Kama ni mimi najisaidia mafungu mafungu kutoka Mwenge mpaka Posta. Eti nini? ujue mara nyingi watu wanakua wanaendekeza ujinga, mi nilikuja Bongo hapo nikahamia kwenye nyumba Kule Bahari Beach kwa Kondo eti majirani wananiambia kabisa kuwa mtu ukihamia lazima jamaa waje ''wakutembelee". nilipofika tu nikaweka vikao vya ulinzi pale kuna wastaafu kibao wa jeshi nikajua nitapata msaada wakawa wanazingua nikasema ngoja niwafundishe hawa wapuuzi.Nikawa nakaa gadi kila usiku. Waulize nini kiliwapata.....mpaka sa hivi nimeondoka kule ila wamekua na heshima baada ya kubeba wenzao wawili wakiwa wanavuja damu wakaenda kuwatupa Tegeta huko.

Believe me kule kumetulia sa hivi, ujinga ni sisi wananchi tu kuwaendekeza wapuuzi hawa.....
 
Poleni wazee wa mbezi beach, location inawaponza! Ukikaa mitaa hiyo ya wanene utenge na fungu la ultimate security!!
 
yani bongo wakati wa kulala unahakikisha mara mbilimbili umefunga milango/madirisha/geti vizuri..na bado unalala kiroho juuu juu!! tough life kwakweli..wezi sina hamu nao kabisa!! Poleni wakuu, ndiyo kugawana umasikini huko tena bila kupenda na linchi letu...
 
Poleni wazee wa mbezi beach, location inawaponza! Ukikaa mitaa hiyo ya wanene utenge na fungu la ultimate security!!
Nakugongea like mkuu,tatizo ni location.hawajui sio wote wanazo kihivo,wengine tunasubiria tu mwisho wa mwezi kibongobongo
 
aisee poleni sana na Mungu awarudishie mara dufu na walioiba wasifanikiwe maisha yao yote
 
Niliibiwa pia Oct mwaka jana flat screen, sony Brevia, laptop 3, na simu ( iphone), xbox na game zake. Maeneo ya Kilongawima....kuna wezi sana kule. Nina hasira sana na wezi nina bastola waje tena waona

Kumbe mchungaji anaishi Kilongawima!!!
 
Niliibiwa pia Oct mwaka jana flat screen, sony Brevia, laptop 3, na simu ( iphone), xbox na game zake. Maeneo ya Kilongawima....kuna wezi sana kule. Nina hasira sana na wezi nina bastola waje tena waona

laptop 3 zote unaingiza nyimbo kwenye cmu za kichina nini?
 
Niliibiwa pia Oct mwaka jana flat screen, sony Brevia, laptop 3, na simu ( iphone), xbox na game zake. Maeneo ya Kilongawima....kuna wezi sana kule. Nina hasira sana na wezi nina bastola waje tena waona
mchungaji,wezi wa siku hizi wanakwiba kidigitali,unapigwa spray,wanakula tigo kwanza then wanakwiba kila kitu...na bastola yako.....
 
Wekeni cctv camera. Au zile camera za siri .inakuwa kama picha tu ukutani kumbe camera au jagi la maua kumbe ni camera. Hata kama mmelazwa fofofo angalau mkiamka muambulie kuona sura zao.
 
Sasa kali ni hii:
Mwizi aliingia kwenye nyumba halafu moja kwa moja akajificha juu ya dari. Sasa watu wakienda kazini anateremka chumba cha mzee kupitia chooni, ana sachi tena cash tu, kisha anarudi juu !
Zoezi kama la siku tatu hivi !
Mzee akampandishia mkewe kuwa anamsachi. Mke wacha aje juu ! Nyumba ikawa taf'rani, siku ya tatu mshikaji akateremka juu ya dari akamkuta house girl anatayarisha msomi wa mchana. Akamdhibiti kwa vibao kisha akapiga simu boda boda ikaja faster, jamaa akasepa kama na 5mn !
Duuh! Nimecheka japo sio mazuri.
 
Back
Top Bottom