Wizi nyumbani kwangu Mbezi Beach

Wizi nyumbani kwangu Mbezi Beach

mkuu yaani hawa watu walishaniumiza vibaya mno!! Machungu niliyo nayo siwezi simulia hapa!! Hata nikikuta wanauwa mwizi hapo siwezi kumwonea huruma hata kama ni ndugu yangu!!!

Mkuu vp hebu elezea walikuumizaje?
Au na wewe waliruka ukuta wakatua?
Fafanua bana.
 
Sasa tulia kisha fanya uchunguzi yakinifu, inakuwaje jamaa wanaweza mtoka Mbwa, kisha wakapanda gorofani na kubeba walichofanikiwa?

Kwa Mbwa inabidi nikusaidie tu coz utasumbuka bila kupata jibu.
Hao wezi huwa wanajipaka mafuta ya Chatu ambayo yanapatikana tumboni.
Mafuta hayo ya chatu ni kiboko kwa Mbwa, hata awe mkali viipi akisikia harufu yake tu lazima atulie.
Mafuta hayo yanapatikana kwa gharama nafuu katika maduka ya kuuza dawa za asili.

Hilo swala la kulala fofofo sasa ndio nakuachia ulifanyie wewe kazi kisha utuletee jibu.

All in all hao mafala watawaibia nyinyi tu, mie kwangu hawathubutu kufika...

Gang Chomba.

Thanx for this crucial info ambayo sijaweza kuipata popote tangu nilivoibiwa.inashangaza sana.ila km ina maujuzi mengine sio vby ukashare na sisi wengine itusaidie ktk kupambana ana hawa wahalifu.pamoja sana mkuu
 
Usimdanganye huyo bwana...
Cha msingi mwambie apambane ili apate pesa ya kununua vingine.
huyo Mungu angekuwa anatoa vitu basi angejitoa mwenyewe ili watu wazidi kumuamini na kuwa na hofu ya uwepo wake.

mmmh!!! imani.....
 
Sasa tulia kisha fanya uchunguzi yakinifu, inakuwaje jamaa wanaweza mtoka Mbwa, kisha wakapanda gorofani na kubeba walichofanikiwa?

Kwa Mbwa inabidi nikusaidie tu coz utasumbuka bila kupata jibu.
Hao wezi huwa wanajipaka mafuta ya Chatu ambayo yanapatikana tumboni.
Mafuta hayo ya chatu ni kiboko kwa Mbwa, hata awe mkali viipi akisikia harufu yake tu lazima atulie.
Mafuta hayo yanapatikana kwa gharama nafuu katika maduka ya kuuza dawa za asili.

Hilo swala la kulala fofofo sasa ndio nakuachia ulifanyie wewe kazi kisha utuletee jibu.

All in all hao mafala watawaibia nyinyi tu, mie kwangu hawathubutu kufika...

Gang Chomba.

.............daah ! Mzee unajiamini kama DCI Manumba !!! :yo:
 
Former Komandoo Yosso. Hivi kundi ilikuwaje likafa?
 
Hii ni kwa wadau wa tasnia ya filamu

Usiku wa kuamkia leo wezi wamepachua kitasa cha mlango mkubwa wa kuingilia nyumbani kwangu na kufanikiwa kuingia ndani.

Wameiba vitu vingi vyenye thamani. Lakini kimoja ambacho kinahusiana na tasnia ya filamu ni computer aina ya Apple iMac 20-inch model, toleo la 2008. Computer aina hii hutumika sana na watayarishaji wa filamu.

Kwa hiyo, yeyote atakayeona au kusikia iMac inauzwa awasiliane nami kupitia +255-762-949577.

Nitakuwa tayari kulipa kiasi watakachotaka kurudisha mali hizo. Hawa ni vibaka wa mtaani. Asanteni.

Wamefwata mali zao ulizowakwapulia na bado huo ndio mwanzo tu!
 
Former Komandoo Yosso. Hivi kundi ilikuwaje likafa?

Lilikosa viongozi thabiti baada ya makamanda waandamizi kuuawa na pia jeshi la polisi lilitumbukiza mamluki ambao walikuwa wanawapenyezea taarifa polisi hao kitu ambacho ramani ya mipango mingi ilikuwa inabumbulukiwa na kushindwa kufanikiwa.
 
Tulifufue: Njoo na strategic za mitaa ya Milan mimi nakuja na za Manzese kwa Mtogole!!!!
Tujitengenezee himaya yetu.........Si unaona wenzetu wanatengeneza zao Uswis
 
Ok ngoja nipitie vitabu vya Mafia Mob na familia za Tatagrian kisha ntaku PM...

Forza Milan
 
Ndio maana wananchi wenye hasira kali hutoa hukumu zao
 
Niliibiwa pia Oct mwaka jana flat screen, sony Brevia, laptop 3, na simu ( iphone), xbox na game zake. Maeneo ya Kilongawima....kuna wezi sana kule. Nina hasira sana na wezi nina bastola waje tena waona
Asante kwa kutujulisha. Jumapili tunakuja na tutachukua na hiyo bastola
 
Sasa tulia kisha fanya uchunguzi yakinifu, inakuwaje jamaa wanaweza mtoka Mbwa, kisha wakapanda gorofani na kubeba walichofanikiwa?

Kwa Mbwa inabidi nikusaidie tu coz utasumbuka bila kupata jibu.
Hao wezi huwa wanajipaka mafuta ya Chatu ambayo yanapatikana tumboni.
Mafuta hayo ya chatu ni kiboko kwa Mbwa, hata awe mkali viipi akisikia harufu yake tu lazima atulie.
Mafuta hayo yanapatikana kwa gharama nafuu katika maduka ya kuuza dawa za asili.

Hilo swala la kulala fofofo sasa ndio nakuachia ulifanyie wewe kazi kisha utuletee jibu.

All in all hao mafala watawaibia nyinyi tu, mie kwangu hawathubutu kufika...

Gang Chomba.

Duh!! hii kali!
 
Usimdanganye huyo bwana...
Cha msingi mwambie apambane ili apate pesa ya kununua vingine.
huyo Mungu angekuwa anatoa vitu basi angejitoa mwenyewe ili watu wazidi kumuamini na kuwa na hofu ya uwepo wake.

Sijamwambia alale ataletewa kitandani. Mungu hubariki kazi halali ya mikono yetu.
 
Mmmh.. Hapa sichangii chochote najiondokea zangu maana Gang Chomba akikosolewa hakawii kutaja "masaburi" ya wenzie.
 
Jamani mi pia nimeibiwa usiku wa kuamkia juzi,naishi mbezi beach pia.wameingia ndani wakachukua laptop,cm na vitu vingine kadhaa!kumbe na majirani kibao wa mtaani kwangu walishaibiwa ila mi sikuwa nafahamu.nimejiuliza wameingiaje na nna mbwa mkali balaa na ckumskia akibweka.bado naugulia machungu ya kuibiwa sijarecover bado

mnqlqaq smu ;laptop dirishamn wazifanyeje mbaya wabakuachia na ;mti dirishan uliotumika kubebea mali ;m nilikuta begi ya kazinoi imejaa makaratasi iko nje wamemwaga makaratasi yote wamesukuma kioo wakatanua chuma mti ukaingizwa basiii nahs n ga;me na mfanyakazi wa ndan maana wanachukua kama walihifadhi
 
Back
Top Bottom