Wizi mpya wa majumbani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi mpya wa majumbani!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KARIA, Jun 21, 2012.

 1. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 718
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hali zenu wapendwa? Alfajiri tumemkamata mwizi wa majumbani, kabla ya kumuadhibu nikataka kujua ni wapi wanapozipata dawa za kupulizia watu madirishani mpaka wanapoteza fahamu. Sikuamini jibu alilonipa, kumbe huwa wanachukua CD wanaiwasha moto halafu ule moshi ukikupata ukiwa umelala unakuwa nusu kaputi!
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Lord Have Mercy! ila wanasema kama unalala na maji chumbani, ile sumu inakuwa absorbed kwenye maji! mmmhhh ni wizi mbaya sana!
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,814
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kamata mwizi
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,470
  Likes Received: 3,351
  Trophy Points: 280
  Hii ni kiboko..
   
 5. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 718
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hii haina cha maji wala nini! Yaani wenyewe wanaiita kubwa kuliko.
   
 6. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ngoja nitest kwangu na nitafute anti dot yake ntarejea
   
 7. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  watu wana mbinu hatari
   
 8. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  New entry in my head! Duuu! Hivi wana training college? Hizo mbinu wanazijuaje? Shetani ana mbinu sana!
   
 9. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,642
  Likes Received: 5,785
  Trophy Points: 280
  Kumbe ndo maaaaanaaaaa...au sio...ndo mana nkimaliza ku-do napata usingizi mzito...ze friction!?? heheh....:A S confused:
   
 10. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,120
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  All the best mkuu.
   
 11. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  dwaah, kumbe ndio huwa inakuwa hivyoo...!!!
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,260
  Likes Received: 4,244
  Trophy Points: 280
  duh this is burandi nyuu
   
 13. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kazi ipo saa inzi na tik tak linalokujia, very new, cheap, na ya ukweli mwe
   
 14. u

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 2,492
  Likes Received: 1,153
  Trophy Points: 280
  Kama hii mbinu it works Mbona mlimdaka? Tuelezeni mlimdakaje? Msije Mkafanya tukamatwe tukitumia hii mbinu!  QUOTE=KARIA;4092597]Hali zenu wapendwa? Alfajiri tumemkamata mwizi wa majumbani, kabla ya kumuadhibu nikataka kujua ni wapi wanapozipata dawa za kupulizia watu madirishani mpaka wanapoteza fahamu. Sikuamini jibu alilonipa, kumbe huwa wanachukua CD wanaiwasha moto halafu ule moshi ukikupata ukiwa umelala unakuwa nusu kaputi![/QUOTE]
   
Loading...