hahahahahahaha unataka kujua mwisho wa siku uharibu deals za watumbinu mpya ambayo ni ......?
Utaelewa tuSijaelewaa
Hapo Side Mirror Unaitumiaje? Mijitu Mingine Kwa Kujifanya MijuajiYani unakaa mjini unaibiwa kizembe ivyo hayo ndio madhara ya kutojua matumizi ya side mirror
Hongera Kwa Kua na La Kwako MwenyeweHuwezi kuibiwa kizembe namna huyo utakuwa bogus namba moja kwenye Nchi ya Shit hole, au labda uwe umepewa gari na Shemeji yako na haujui uchungu wowote kuanzia mafuta mpaka gari lenyewe
Unamwambia simply sorry naomba usogee nione tankMhhh angalia vizuri lakini aliyeshika pampu anakuwa amekuziba/amekupa mgongo sasa side mirror haina kazi labda ushuke tu ndio dawa
Hapa ni kama kituo cha mafuta cha Lake Oil pale Kongowe njia ya kwenda Mkuranga. Mimi pia hapo nimewahi kuchezewa huo mchezo nilipomshtukia yule mhudumu nilimripoti kwa boss wake hapo hapo. Sijui kwa nini wanatabia hiyo baadhi ya wahudumu hawaHaya wale wamiliki magari,mtindo mpya umeibuka!Wakati wewe ukiamini mafuta yanawekwa kwa tanki la Gari,kumbe muweka mafuta anakuziba ili usione dumu dogo ili aweze kuwa anakuibia jionee kwa picha
View attachment 741655
Watu wa kolomije haoHuwezi kuibiwa kizembe namna huyo utakuwa bogus namba moja kwenye Nchi ya Shit hole, au labda uwe umepewa gari na Shemeji yako na haujui uchungu wowote kuanzia mafuta mpaka gari lenyewe