Wizi mpya vituo vya mafuta

Wizi mpya vituo vya mafuta

Petrol station nyingi za camel , oilcom zimejaza watoto wa kipemba , tanga na kigunya wanatamaa sana . Bora ujaze total au puma
 
Haya wale wamiliki magari,mtindo mpya umeibuka!Wakati wewe ukiamini mafuta yanawekwa kwa tanki la Gari,kumbe muweka mafuta anakuziba ili usione dumu dogo ili aweze kuwa anakuibia jionee kwa picha

View attachment 741655
 
Back
Top Bottom