Wizi mpya vituo vya mafuta

Wizi mpya vituo vya mafuta

Maybe uwe mgeni kwenye magar lakin kama ni upo kwenye gari/magar kwa mda uwez ibiwa ata ml100 usigundue

Labda usiwe na bajet mahalum ya mafuta
Unayotakiwa kuweka kila mafuta yanapoisha
Braza unless kama unafurahisha tu kijiwe,
Hivi ubajua utakavyoingia "Sheli" leo sivyo utakavyoingia kesho?
Mi nadhani hata kama una uzoefu gani kwa dhsboard zetu za magari huwezi ku-detect wizi wa mafuta yasiyozidi au kufikia robo bana.
Unless uwe unatumia gauge ambazo ni digital zinasoma kwa number na point, na gari hizo bado au ziko chache sana hapa kwetu
 
Kweli kabisa mkuu..af sio kwa gar ulizotaja tu gar yeyote mafuta yakishakua chini ya boya gauge haiwez panda papo hapo lazima itulie ata sc.5 kulingana na ukubwa wa tank ndio mshale ujiguse
Hizo nimetumia ndio mana nimezitaja,hilo tatizo wengi hawajui
 
Braza unless kama unafurahisha tu kijiwe,
Hivi ubajua utakavyoingia "Sheli" leo sivyo utakavyoingia kesho?
Mi nadhani hata kama una uzoefu gani kwa dhsboard zetu za magari huwezi ku-detect wizi wa mafuta yasiyozidi au kufikia robo bana.
Unless uwe unatumia gauge ambazo ni digital zinasoma kwa number na point, na gari hizo bado au ziko chache sana hapa kwetu
Mkuu upo nyuma sana..

Wanaokuibia nawashauri wakazane kabla akili hazijakurudi
 
Mkuu upo nyuma sana..

Wanaokuibia nawashaur wakazane kabla akili hazijakurud
Haya bana,
Ningependa tufanye test,
Unikabidhi gari yako ukiwa umeweka mafuta kiasi fulani na kukariri geji yako ilipo,
kisha niyapunguze kiasi bila wewe kuwepo wewe uje uniambie kiasi kilichopungua kwa kusoma tena geji yako.

Altenativeely unipe nikakuwekee mafuta kisha uniambie nimeweka ya kiasi gani. Ukifanikiwa kujua nitaamini unachoniambia kua ukiibiwa hata 100Mils utajua
 
Kwanzia kesho uwe unawasimamia wahudumu wa shel mama
 
Maybe uwe mgeni kwenye magar lakin kama ni upo kwenye gari/magar kwa mda uwez ibiwa ata ml100 usigundue

Labda usiwe na bajet mahalum ya mafuta
Unayotakiwa kuweka kila mafuta yanapoisha
Mh siamini kama kuna mtu ana hiyo accuracy kwenye hizi mita za analogue
 
Mm daima ninapoweka kiwese lazima nishuke kushuhudia kiasi kimachoingia. Pia labda wale wenye magari yasiyoonesha kiasi kimachoingia. Yaani nilipe hela ya nusu tenki lakini yaingie robo. Hapatatosha..
 
Mhhh angalia vizuri lakini aliyeshika pampu anakuwa amekuziba/amekupa mgongo sasa side mirror haina kazi labda ushuke tu ndio dawa

Kwanza kituo chenyewe kinaonekana ni njaa kali, vumbi imetapakaa kila sehemu - mtu utategemea nini kutoka vituo uchwala vya vichocholoni.
 
Mafuta si yanawekwa kwenye kidumu jaman..lahaullah!!
 
Mhhh angalia vizuri lakini aliyeshika pampu anakuwa amekuziba/amekupa mgongo sasa side mirror haina kazi labda ushuke tu ndio dawa
Ndio maana jamaa kasema ukiibiwa kwa style basi ukapimwe mkojo.

Mie naongezea; kabla ya kupimwa mkojo unyang'anywe leseni kwanza.
 
Kuna watu wakat mwingine wanadhihilisha hawajui wanachosema. Eti huwezi ibiwa ml 100 usijue. Muulize ana gari gani ambali akiibiwa hata nusu lita anajua. Watu kama hawa unaachana nao... Huwa tu wanapenda nao waonekano wamo. Ukiweka mafuta ya 20,000 hata tofaut ya lita moja huwezi igundua hapo hapo. Kwanza gauge huwa sometime it takes some mins kama umeweka kiasi kidogo.isipokuwa kama umeweka mengi ndo inapanda kwa haraka . mtu anakuja kusema eti hata ml 100 utajua umeibiwa? Hizi shule hazijafunguliwa hii likizo ya pasaka?

Braza unless kama unafurahisha tu kijiwe,
Hivi ubajua utakavyoingia "Sheli" leo sivyo utakavyoingia kesho?
Mi nadhani hata kama una uzoefu gani kwa dhsboard zetu za magari huwezi ku-detect wizi wa mafuta yasiyozidi au kufikia robo bana.
Unless uwe unatumia gauge ambazo ni digital zinasoma kwa number na point, na gari hizo bado au ziko chache sana hapa kwetu
 
Kuna watu wakat mwingine wanadhihilisha hawajui wanachosema. Eti huwezi ibiwa ml 100 usijue. Muulize ana gari gani ambali akiibiwa hata nusu lita anajua. Watu kama hawa unaachana nao... Huwa tu wanapenda nao waonekano wamo. Ukiweka mafuta ya 20,000 hata tofaut ya lita moja huwezi igundua hapo hapo. Kwanza gauge huwa sometime it takes some mins kama umeweka kiasi kidogo.isipokuwa kama umeweka mengi ndo inapanda kwa haraka . mtu anakuja kusema eti hata ml 100 utajua umeibiwa? Hizi shule hazijafunguliwa hii likizo ya pasaka?
Ukweli nimemshangaa sana yule jamaa,
Mpaka nimewaza anachangamsha tu kijiwe,
Kwanza ukweli ni kua hata hizi "Sheli" zetu Ukiweka mafuta ya Tshs 10,000 kituo kimoja v/s kingine still yanatofautiana japo Miligrams kadhaa, lini yeye alishawahi kushtuka?
 
Vp kama unajaza full tanki?picha inaonyesha dereva amezibwa ata akitizama ktk sight mirror hawezi kuona,hapo kuibiwa ni possible sana tu
Mkuu una miliki Gari tuanzie hapo, na ulishaenda kuweka mafuta mara ngapi, na sight mirror kazi gani, au hilo Gari umenunuliwa na Shemeji au mumeo kwa hiyo huna haja ya kufuata matumizi sahihi yaliyopo kwenye vifaa vya gari. Kama umemiliki gari au ni Dereva wa muda huwezi kuibiwa kishamba namna hii. Cha kwanza utaangalia kwenye mashine kama kaandika kiasi sahihi ulichosema then utaangalia kupitia sight mirror kinachoendelea hakuna mtu mjinga wa kuibiwa namna hii.
 
Mkuu mimi namiliki gari ndio tena gar langu la kwanza nilimiliki nikiwa na miaka25 tena kwa ela yangu hua nikienda sheli hua nafungua mfuniko wa tank na siangaiki na mhudu mimi nacheza na dashboard tu maana najua kama mafuta lita 1 ni bei hii mshale utafika hapa

Usipo fika hapatatosha kwakweli

Sasa nyie endeleen kuibiwa kishamba!

Nina mashaka na ww.. Huna gar au baso jipya.
 
ndo kizazi tulicho nacho.. huwa nawaza sijui ni mfumo wa elimu ndo unatengeneza watu wa namna hii au ni malezi. uwezo wa ku reason logically haupo kabisa. mimi binafsi nawashangaa hata wale wanaosema kuibiwa namna hiyo ni uzembe. inategemea. kama hujawahi kuibiwa au hujawah fikiria jambo kama hilo inawezekana ukaibiwa sababu huwezi dhania kuwa huyu aliyekuziba amekuziba makusudi akikinga mafuta kwenye kidumu. unaweza dhani ni ukaaji wake tu na kwa kuwa akili yako haijawaza kuwa inawezekana kabis amtu akawa ana ujasiri wa kukuibia hivi.

ni sawa na itokee unaenda kula hotel flani kumbe ukiagiza juice kwenye juice mletaji anachanganya na mkojo kidogo na ni juice ya ukwaju.
huwezi ku notice kwa haraka kwa kuwa kiakili unaamini kuwa juice inayoletwa ni salama na binadamu mwenye akili timamu hawezi kukuchanganyia na mkojo kidogo. siku ukiambiwa ndo unaanza kuwa makini kuhakikisha anapoenda kumimina unamwona au pengine kumwambia aonje kwanza yeye. so mleta hoja kaleta kwa nia njema kabisa kuwa alert watu but still some people pretend to be much know. kumbe "kujua kwingi mbele kiza"

Ukweli nimemshangaa sana yule jamaa,
Mpaka nimewaza anachangamsha tu kijiwe,
Kwanza ukweli ni kua hata hizi "Sheli" zetu Ukiweka mafuta ya Tshs 10,000 kituo kimoja v/s kingine still yanatofautiana japo Miligrams kadhaa, lini yeye alishawahi kushtuka?
 
Hapana huyu anaweka mafuta kwenye kidumu ni ya mwenye gari, ila sheria za sheli zinakataza kubeba mafuta kwenye kidumu. Hvyo anazuga anaweka kwenye gari kumbe kidumu. Maana sheria zinamkaba, ila hawezi iba kijinga hvyo
 
Back
Top Bottom