Wizi mpya: Kaeni chonjo!

Mapoyoyo wako wengi maduka yoote ya makampuni ya cm hayaoni akawakabidhi simu watu asowajua??????
 
ahsante kwa taaarifa mkuu, hawa jamaa kila siku wanabuni mbinu mpya aise
 

Watu wanaotumia bank kama CRDB,huwa hawaibiwi pesa kwa mtindo huu wa kuswap hata siku moja kutokana na kitu umeeleza hapo. NMB hawaja implement hii kitu kwao ndo maana watu wengi(99.99%) wanaoibiwa pesa kwa mobile banking ni wa NMB. Na mara nying ni just social engineering wanafanya kupata password yako.
 
Tujitahidi kupunguza ignorance kws kutanua GENERAL KNOWLEDGES zetu..maana vitu vinaitw
a DO IT YOURSELF lakini mtu anaenda kupanga foleni Mlimani City kutwa siku hiyo hata watoto nyumbani hawali mama kaenda kuwekewa whatsaApp
Pole sana!!
Ila wamama kutwa kusikiliza taarabu na kuangalia tamthilia au kusoma sani na Risasi watajua wapi mambo ya internet
 
"walitujulisha walikuwa wameshatoa sh.laki 350 kutoka nmb." kwani pesa iliyotajwa hapo juu ni mali yako au ya mkeo?
 
Laki 350??? Haha kumbe big results haijaanza leo! Asante mkuu ila mkeo ulitakiwa uwe umemuunganisha na internet long time
 

inawezekana uko voda kitengo cha erolink(customer service).
 
Inamana password zako unarikodi kwenye simu??walipataje hizo nmb mobile password??hata wakichukuwa sim card bado hawatoweza kuchukua pesa zako kama hukuweka wazi password zako,haijaniingia bado sorry.

Ni kweli mkuu filbonde huyo Ametoa password haiwezekani hata siku moja kuiba tu bila kutoa password,huyo mkeo kakudanganya anaskia aibu kusema kweli,
 

hahaha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…