Wizi mpya BOT

As long as ni haka serikali corrupt bado kapo "BOT" bado itendelea kutoa mtaji kwa wanaojiita wajanja kwa kutumia mbinu mbalimbali za kumlaghai rais wetu kilaza, na asiyeshaurika...
Nadhani Ndugu Zitto kalivalia njuga hilo suala, naangalia mwisho wake sijui utakuwaje! Ni mapema kusema lolote japo sitarajii makubwa katika uwajibikaji, ndio uendeshaji wa serikali wa Dr(kilaza) jeykey
 
Hivi kuvua magamba kutaondoa hili tatizo la kupeana pesa zetu bila hofu yoyote? Na wahusika wanajiona mahiri na waheshimiwa kuliko wenye mali walioibiwa pesa zao
 
Mkuu hii report tumeshaizungumzia sana hata kabla ya kutoka ofisini kwa CAG na baadae Zuberi aliipeleka bungeni tukaizungumzia tena, na waziri mkubwa akatoa majibu mazuri tuu na wabunge wakamwelewa, naombeni tuongelee mambo mapya yenye kuleta maendeleo wakuu.

Mleta mada inaonekana siyo mfuatiliaji wa wanayojiri Tanzania.
Hivi mkuu Gamba la zamani sijui Gamba jipya unasema mlii discuss hii mada zamani wakati umejiunga JF juzi hiyo zamani ni zamani ipi??Ama unataka kutuambia kuwa una profile ingine na jukwaa jingine unalotumia kujadili mambo hii??Mwanangu kudesa kubaya,ukitaka kuwa muongo tafadhali usiwe msahaulifu!!Join date 16 April, siku 2 zilizopita afu unaleta habari ya zamani??Mm nilifikiri ukivua gamba akili zinaongezeka kumbe ni zile zile??
 
Mkuu hii report tumeshaizungumzia sana hata kabla ya kutoka ofisini kwa CAG na baadae Zuberi aliipeleka bungeni tukaizungumzia tena, na waziri mkubwa akatoa majibu mazuri tuu na wabunge wakamwelewa, naombeni tuongelee mambo mapya yenye kuleta maendeleo wakuu.

Mleta mada inaonekana siyo mfuatiliaji wa wanayojiri Tanzania.
Naomba nipingane na wewe.waziri mkuu hakutoa majibu yanayoridhisha juu ya fedha hizi.kuna wizi mkubwa juu ya fedha hizi na ndiyo maana maswala kama haya ni muhimu yarudiwe mara kwa mara mpaka kieleweke.na wananchi tunayo haja ya kuhoji kwani ingekuwa ni sahii CAG asinge liambia bunge fedha hizi serikali izitolee maelezo.
Tunazo sababu zote kuendelea kujadili,wapo wengi wangependa kujua hali imefikia wapi leo.
 
Huyu Gamaba jipya kaingia humu juzi halafu anasema tulijadili humu??? May be tusuri Zitto aje atupe hayo majibu ya PM huko bungeni.
 
mkuu hapa JF hauna hata siku 3, uliizungumzia jukwaa gani?
maendeleo gani yatapatikana ikiwa fedha zinapotea bila maelezo ya kuridhisha..

Mkuu ulikuwepo enzi za nyenzi.com, jamboforums.com jee?..au umeibukia jamiiforums?..

Kalaga baho
 
Mkuu ulikuwepo enzi za nyenzi.com, jamboforums.com jee?..au umeibukia jamiiforums?..

Kalaga baho

Wewe hiyo ripoti ya CAG iliyotolewa hadhari juzi hapa, uliijadili lini na wapi? hilo ndo swali la msingi?..Toka issue ya magamba imediverge attention yote huko kwenye politics
 
Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.

toa shikamoo kwa wakubwa wako kwanza!
HAKUNA UFISADI UTAKAOSAHAULIKA!NA WOTE WALIOHUSIKA IWE WA ZILIPENDWA AU BONGO FLAVA LAZIMA TUWANYOOSHE ,MUDA WA KUWAFANYIA UNAKARIBIA!
 
Hayo ni mawazo yake kama mtanzania wa kawaida, wapi amesema kuwa fedha hizo zimeibiwa au kuliwa na wajanja wachache?.

Mnajua kazi ya CAG lakini au mnalalama TU..?

Naombeni tuongeleeni mambo yenye maslahi kwa taifa letu.
 
mambo yapi zaidi ya hili?yataje
au tuongelee ccm kujivua gamba?acha kutetea ufisadi wewe bwana mdogo!
 
Mkuu hii report tumeshaizungumzia sana hata kabla ya kutoka ofisini kwa CAG na baadae Zuberi aliipeleka bungeni tukaizungumzia tena, na waziri mkubwa akatoa majibu mazuri tuu na wabunge wakamwelewa, naombeni tuongelee mambo mapya yenye kuleta maendeleo wakuu.

Mleta mada inaonekana siyo mfuatiliaji wa wanayojiri Tanzania.

nahis huyu ni Jk,maana anaongea kama mtu ambaye ni mhusika/mwizi wa pesa hizi,
 
This is a serious issues. Please mwenye data atuletee kwani inahusu kodi yangu na wa TZ wenzangu. Gamba jipya acha utani kwenye mambo ya msingi yanayohusu uhai wa taifa letu.
 
Mkuu hii report tumeshaizungumzia sana hata kabla ya kutoka ofisini kwa CAG na baadae Zuberi aliipeleka bungeni tukaizungumzia tena, na waziri mkubwa akatoa majibu mazuri tuu na wabunge wakamwelewa, naombeni tuongelee mambo mapya yenye kuleta maendeleo wakuu.

Mleta mada inaonekana siyo mfuatiliaji wa wanayojiri Tanzania.

Usituzuie kuwachunguza na kuwazungumzia nyie vijigamba. Kama mmeiba hela lazima tuwajadili humu tufahamu undani wake na wenye uwezo wa kuwashughulikia wawashughulikia. Nyie ni vijigamba tu hamuwezi kushindikana. Tangu lini gamba la samaki likashindikana kuparuliwa. Tuache tuwajadili humu, aaalaaha
 
Hayo ni mawazo yake kama mtanzania wa kawaida, wapi amesema kuwa fedha hizo zimeibiwa au kuliwa na wajanja wachache?.

Mnajua kazi ya CAG lakini au mnalalama TU..?

Naombeni tuongeleeni mambo yenye maslahi kwa taifa letu.

nimejaribu kukuvvmilia nikadhani umekurupuka kumbe sivyo. Umejidhatiti kabisa! Nenda kamwambie Msekwa kazi aliyokutuma tumeiona na tumekusikia. Hakuna unaloweza kufanya humu kwasababu ya ufupi wa akili yako! Maslahi gani ya taifa zaidi ya kuhoji 48bil ambazo mmezila? Maji hayachanganyiki na mafuta. Ona ulivyojitenga na sisi. Kazi unayo mkuu. Hizo hela mnazopewa kuja kudivert mada zitakutokea puani. Achana nazo utetee maslahi ya nchi ili upate kazi ya heshima. Acha ujinga wewe!
 
Mkuu hii ripoti imetoka juzi tu na wewe unasema hizi ni habari za zamani.. tukueleweje?

ana2mika kuliko hata unga wa ngano. Achana naye funguka na stick on point, hilo kopo 2. Hata heshima ya mkuu umemvika bure, kwenye familia yake kuna cku hata watoto wake wanasahau kumuita "baba''
 
MKUU TUNAJUA UNALIPWA KUPINGA MAMBO YA WANAHARAKA KAMA CHADEMA maana hiyo ndio njia ya kisasi aliyotanga JANUARY makamba, kamlisha huo uchafu hata mzee msekwa eti JF ni chadema, LAKINI KWA POST HII KUWA MAKINI UNAWEZA KUFUKUZWA KAZI NA JANUARY, NADHANI UMEMDANGANYA JANUARY WAKATI WA KUOMBA KAZI KWAMBA UNA UZOEFU NA MAMBO YANAYOENDELEA HAPA NCHINI,
watu kama wewe ndio mnatusadia wanaharakati kuisukuma ccm shimoni mapema , kwa kujipa majukumu msiyoyaweza
Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.
 
RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI MWAKA ULIOISHIA TAREHE 30 JUNI, 2010 inasema

5.9 Kukosekana kwa orodha ya waliolipwa kiasi cha Sh.48,000,270,000 kwa ajili ya kuchochea ukuaji wa uchumi
Serikali ililipa kiasi cha Sh. 48,000,270,000 katika Benki Kuu ya Tanzania kama sehemu ya mchango wake wa kuchochea ukuaji wa uchumi ili kukabiliana na msukosuko wa uchumi ulioikumba dunia. Hata hivyo, hatukupatiwa orodha ya walionufaika na fedha hizo za kufidia hasara na kulipia mikopo wala utaratibu utakaotumika kwa wafanyabiashara husika kurejesha fedha hizo pindi hali ya uchumi itakapoimarika. Kwa hali hiyo, nimeshindwa kujiridhisha kuhusu uhalali wa malipo hayo na urejeshwaji wake
utakavyokuwa. CAG – L.S Utouh

Hii si EPA ya pili?

Wajanja wamekula kama kawaida yao
 
Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.

Tarehe uliyojiunga inaondoa shaka juu yako. Wewe umejiunga April 16 2011 habari hii unayosema ni zamani uliisoma wapi hapa na lini!
Jf walitarajia ujio wa watu wa aina yako hasa baada ya tamko la msekwa.
Hapa JF thread hata za miaka 5 zinavutwa na kujadiliwa, hakuna thread ya zamani FYI.
Huyu aliyeleta ndio anachangia taifa kimawazo.
Kama unaona thread si ya maana una hiyari ya kuisoma au kuiacha.
Umeingia na mguu mbaya na sijui itakuwaje mbele ya safari. Time will tell.
 
Dawa ni CAG kupewa meno ya kuwashtaki na kuwa-prosecute mahakamani wote anao wakuta katika ukaguzi wake kwamba wametuibia fedha.Kuendelea kutoa taarifa tu mwaka hadi mwaka bila kushtaki haina maana, na ndio maana wizi unaendelea kama kazi.
 
Duh! Kwanza tumpe CAG sifa kwa kufumbua wizi! Inaelekea ni mmoja wa watendaji wachache wa Umma waliobaki na credibility.
Pili...hii ishu ni SERIOUS sana. Hapa serikali inapaswa ianguke kabisa. Hatuwezi kukubali wizi wa kihuni namna hii! Nchi hii imegeuka kuwa janga la wanyang'anyi.
 
Back
Top Bottom