Wizi kwenye Mataa ya barabarani

Mi mbona sikutanagi nao wa hivyo? Tena na kamwili kangu kalivyo kadogo naamini kuna siku atajaa, nitapiga Kombat moja akipona na wizi ataacha
 
Naomba niwafahamishe ndugu zangu kuwa makini nyakati za usiku pindi unaposimama kwenye mataa hakikisha milango na vioo umefunga.

Imenitokea maeneo ya kiwanda cha bia pale mataa mida ya usiku saa sita hivi, dirisha la nyuma nilisahau kulifunga, jamaa walikuwa wawili na pikipiki walitokea nyuma yangu na mmoja aliufungua mlango ghafla akanitolea panga aliniambia eti toa simu nilichokifanya nilikanyaga mafuta kwa nguvu yule jamaa kichwa kilikuwa ndani miguu nje alichokipata huko nyuma walisimuliana
Wewe kweli,ni jasiri na mkakamavu.
 
Daah, mi ilinitokea mchana kweupe pale mataa ya Fire, sikufunga kioo changu cha mbele, teja alinitolea wembe wenye kutu akawa anaulengesha shingoni, akala 70,000/= yangu kiulaini kabisa, daaah, hii nchii hiii
Ungepandisha kioo,kikambana mkono,angeomba samahani,yeye mwenyewe.
 
Kuna tena mmoja mwenye kipara pale ubungo mataa kuna siku nimeshusha kioo akaniwekea sindano nilimkunguta na rungu la uso pwaaaa akaanguka nikakanyaga mafuta nikasepa
 
Naomba niwafahamishe ndugu zangu kuwa makini nyakati za usiku pindi unaposimama kwenye mataa hakikisha milango na vioo umefunga.

Imenitokea maeneo ya kiwanda cha bia pale mataa mida ya usiku saa sita hivi, dirisha la nyuma nilisahau kulifunga, jamaa walikuwa wawili na pikipiki walitokea nyuma yangu na mmoja aliufungua mlango ghafla akanitolea panga aliniambia eti toa simu nilichokifanya nilikanyaga mafuta kwa nguvu yule jamaa kichwa kilikuwa ndani miguu nje alichokipata huko nyuma walisimuliana
Ha ha ha!!! Mkuu wewe hatari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom