Wizi kwenye magroup ya whatsapp

Wizi kwenye magroup ya whatsapp

Itakuwa simu yako ina uwezo wa chini ndo maana unashindwa kufungua link.Hiyo kitu sio ngeni na watu wengi tu wameitumia na ktk baadhi ya magroup inatolewa bure.Punguza ushamba na kuhisi kuibiwa ibiwa tu
 
Wabongo wenzangu wengi bado washamba sana.
Sasa channel za TV zitolewe bure na mbangaizaji fulani hapo Kariakoo na wewe unaamini?
Hivi huwa hata hamsomi namna hii mifumo inavyofanya kazi.
Jaribu kufuata na kushawishika na vitu official na sio kila unachoona tu unataka.
 
Mkuu asante kwa taarifa ila kuangalia mechi za ulaya huhitaji link ya hao matapeli Bali kuna App zinazotumika wala hakuungi mtu yeyote unaingia mwenyewe na kucheki mchezo unaoutaka just MB zako tu
 
Hakuna vitu vya kijinga kama group la whasapp
 
Toka lini TV ikaangaliwa kwenye Simu Na TV ifanye kazi gan au mmeweka sebuleni Kama Pambo wabongo Akili ndogo sana.
Mkuu simu inaweza kuonyesha TV stations nyungi tu online. Changamoto yake kioo kidogo halafu mtandao unasumbua bora kuwa na kisimbuzi tu uangalie screen kubwa kuliko huu usasa was kijinga wanaofanya. Sasa TV kiganjani ina maana gani
 
Back
Top Bottom