Wizi kwenye magroup ya whatsapp

Wizi kwenye magroup ya whatsapp

Hiyo kitu ipo kweli ila kuunganisha mpaka uwe mjuvi kweli.yupo jamaa pale posta mavuno house anayo hiyo Link na ukienda anakurushia na akusaidia kupakua na ikikubali unamlipa. Ni TSH 3000.
 
2f1941627a687cdad2867e00328a3f86.jpg
bb418ca06a387c3ef69e2cfb4639d01d.jpg
5e29d79ff74f3abe9849027567ab3a4c.jpg
9873375669175f6ae2c79380b7fcd25b.jpg
izo shoortscreen ndio wanatuma wafuasi wao matapeli wenzao ili kuwaaminisha watu ili waamini kuwa ni kweli lkn uongo mtupu na wizi wa mchana mchana wakuu
TV kiganjani 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳
 
Wakuu nimeona ili nije kulisema humu uko kwenye magroup ya whatsapp kuna group moja linaitwa TV kiganjani, ili group ni la matapeli kwa sababu gani nasema ivyo wale wahusika wakuu yaani waanzilishi wa ili group wanawashawishi watu wageni mule kuwa wana link ya kuunganisha kwenye simu yako unatakiwa ulipe shilingi 3000/= wakuunganishe kwenye chanel za kuona burudani ikiwemo dstv azam one azam two star tv itv na station nyingi mpaka za nje NK. Za kuona mipila mikubwa kama uefa ligi za ulaya, ukilipia iyo 3000/= ndio wanakutumia iyo link yao wanakuelekeza maelezo gusa maandishi ya blue u douwload zitakuja TV za bure, mimi machale yakanicheza nikawaambia mie siwafanyii uhuni nirushieni iyo link iwapo kama nimepata izo channel, mnazosema nitawarushia 3000/= yenu wakawa wanagoma na kukataa na kusita kunirushia, nikatumia mbinu za kutosha, na kuwabembeleza ndio wakakubali, kunirushia iyo link, cha ajabu kila nikiifungua inakataa, sasa nikajua labda ni kwangu ndio imekataa, nikaingia kwenye lile group watu kibao wanalalamika na wao kwao imegoma kufunguka kwenye simu zao, na mbaya zaidi wapo wenzao wanaochombeza, kuwa wao wanaona na washaunganishiwa safiii kabisa lkn lao ni moja namba yake uyo bwana anaetapeli ya simu pia ninayo na kama kulizwa watu kibao inaonekana washalizwa, nikaona mimi huu uzi niulete uku jf ndugu zanguni muujue na kuuelewa wakuu...!!!!
Nitaongeza umakini mkuu
 
Maisha yamekuwa magumu, kiasi kwamba, watu wengi wanatumia njia ya kupata kipato kwa njia isiyo salama
 
2f1941627a687cdad2867e00328a3f86.jpg
bb418ca06a387c3ef69e2cfb4639d01d.jpg
5e29d79ff74f3abe9849027567ab3a4c.jpg
9873375669175f6ae2c79380b7fcd25b.jpg
izo shoortscreen ndio wanatuma wafuasi wao matapeli wenzao ili kuwaaminisha watu ili waamini kuwa ni kweli lkn uongo mtupu na wizi wa mchana mchana wakuu
Hao ndo akina ba.shi.te
 
Poleni sana jamani.

Kuna Application kwa ajiri ya Simu kwa 3500 unaona chanels zote za nje ya nchi chanel zote za mpira za kwenye dstv Live znaonesha clear bila ku scratch Apllication ina channel zote maarufu uzijuazo wewe MUSIC MOVIE SPORTS ADVENTURES ANIMALS na Nyinginezo, Hakika uto juta nicheki 0766945663 ili kujipatia aplication iyo na ikikuzngua nipeleke mahakamani au njoo ushitaki humu JF
Nipe link kwanza niifanyie test
 
Back
Top Bottom