Wizi kwenye magroup ya whatsapp

Wizi kwenye magroup ya whatsapp

Mkuu simu inaweza kuonyesha TV stations nyungi tu online. Changamoto yake kioo kidogo halafu mtandao unasumbua bora kuwa na kisimbuzi tu uangalie screen kubwa kuliko huu usasa was kijinga wanaofanya. Sasa TV kiganjani ina maana gani

Sim ibakie sim na TV inakie tv hapo ndio utaenjoy ahahha
 
Download app ya mobdro uone chaneli za nje bila shida.. nenda google andika mobdro kisha upakue.. achana na hao matapeli..
 
Mkuu Kna helio la wauza ngapi wao wanakuambia Tuma 5000/ ili wakuoneshe majimambo....wote hao wezi tu

Ova
Na wao walisema wameshusha Bei kwa sasa hapo kipindi cha nyuma wanasema walikuwa wanafanya Bei ya shilingi 5000/=
 
2f1941627a687cdad2867e00328a3f86.jpg
bb418ca06a387c3ef69e2cfb4639d01d.jpg
5e29d79ff74f3abe9849027567ab3a4c.jpg
9873375669175f6ae2c79380b7fcd25b.jpg
izo shoortscreen ndio wanatuma wafuasi wao matapeli wenzao ili kuwaaminisha watu ili waamini kuwa ni kweli lkn uongo mtupu na wizi wa mchana mchana wakuu
Mkuu mbona hii application Ni ya bure tu mimi mwenyewe nimetumiwa link bure nikaidownload na ninaangalia hzo station bure bila hata shiling
 
Hii kitu tumepewa bure humu jf zaidi ya mwaka sasa na inafanya kazi japo kuna matatizo ya hapa na pale! Acha mzuka tulia, hawa ni vijana wanatafuta maisha sii matapeli
Mimi mwenyewe hii app ninayo na huwa naangalia Mara kwa Mara na Hakuna aliyeniuzia
 
Back
Top Bottom