wizi huu wa NFT Consultancy mpaka lini?

wizi huu wa NFT Consultancy mpaka lini?

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
533
Reaction score
233
wana jamvi kuna siku nilipata wasaa wa kupeleka cv katika moja ya recruitment agency zilizopo hapa Tanzania nayo ni NFT sasa nilichokutana nacho hapa ndo kilinifanya nichoke kwanza wakaniambia niandike jina langu kwenye kitabu chao na kuambiwa nitoe cv yangu basi yule dada akaitazama na kuanza kuikosoa vitu ambavyo havina msingi wowote kisha akanirudishia cv yangu na kuniambia eti nihudhurie training yao ya kuandika cv kwa sh 15,000 then ndo watchukua cv yangu nikwamwambia kuwa hiyo cv ni baada ya kuhudhuria training mbili za uandishi wa cv asa kuna kipi kipya akawa hana jipya . nikamuuliza kwa hiyo mnato format ya kuandika cv manake cv za watu wote si zitakuwa zinafanana akakataa nikamwambia sas mtajuaje kuwa huyu ni product ya training yenu akasema tutampigia simu alete cv kwani akishalipa tunakuwa na contact zake nikamwambia kwa hiyo huwezi zitofautisha cv za kwenu na watu wengine zaid ya kutumia kupiga sim. mimi navyoliona hili swala kwa jicho lingine ni kuwa mtu unatoa pesa ili wachukue cv yako, asa kama hata kupokelewa cv inabidi utoe pesa je kazi si ndo itakuwa utata
 
Back
Top Bottom