Pale Arusha bila kumng'oa Lema, patachafuka sana sana na bado. Matatizo yote haya yanatokana na huyu jamaa wa Chadema. Sasa hivi watalii hawakai mjini, guest house hazina watu, vibaka kibao plus so many uncouth things happening randomly.
Sina hakika kama ana shule yoyote na sijui watu wenye akili kama Arusha Municipality walivyo wanachanguaje mtu wa namna hii?!
Pole sana mkuu, hayo ndiyo matokeo ya kuwa na kundi kubwa la vijana ambao wako nje ya ajira. Kuhusu IPAD, fanya tuwasiliane ili nikutafutie nyingine kwa bei rahisi sana. Si unajua tena sisi ndiyo wazee wa mjini, hata ukitaka side mirrors zako ulizoibiwa hapa utapata tu.
Nahofia wewe ndiyo muongo!
Nikiangalia haupost via mobile, na kwa uzoefu wangu, pale Central hakuna kompyuta hata ya dawa!...unapostije?:lol::lol::lol:
LAbda kama ipo ni kwenye ofisi ya RPC!...huku kwa wajasiriamali hamna kitu!...hata karatasi za ripoti mbalimbali mwenye shida anatakiwa akatoe photocopy pale ng'ambo ya barabara kwenye kontena la blue!
Acha kudharau na kuwananga watu wenye matatizo wewe!...hayajakukuta!
Mkuu niseme uongo ili iweje?....mie nimefika hapo na kuandika maelezo mida ya saa mbili jioni na nilimkuta Askari wa kiume na kike na hapa nina RB na baadaye kidogo nitapita hapo ili nimjue mpelezi wa kesi yangu....naomba uangalie vizuri or muulize askari aliyekua zamu jana jioni atakuonyesha hilo file mkuu.....
hicho nikilio cha wananchi kila siku polisi kufuatilia mambo yasiyo hatarishi na usalama na kuacha wahalifu wakitawala..ndo matokeo yake hayo...nijuavyo ukiifuata nyuki utakula asali na ukifuata nzi.................Lema anahusikaje? Hili ni swala la polisi badala ya kushughulika na usalama wanahangaika na siasa, na biashara za mihadarati wa kuhamisha ni Zuberi Mwombeji
Nikiwa kama MOD ninaye ratibu jukwaa la walioibiwa na kuingizwa mjini nakutunuku BAN ya sekunde kadhaa.
Nitashukuru sana mkuu na Mungu akubaliki kwa hilo..Mkuu vijiwe vyote vinavyouzwa computer, ipads simu navifahamu sasa ngoja niwaulize kama wanayo Ipad32G halafu wewe nitakufanya kama mteja ambaye ni rafiki yangu sasa ndiyo nakusaidia kutafuta. Pls unatakiwa usiwe na jazba kabisa, mambo yanaweza kwenda vizuri.
Kwenye RED: Nina mashaka na uanasheria wako, ni wa michapo na sifa zaidi kuliko perfomance!Kwa sisi wanasheria naona kama kuingia kichwani ngumu. Kwa mitaa ya metropole na makao makuu ya polis ar ni mita 400 so wangetiwa nguvuni faster na kama wanawaibia watu wameanzia mbali mpaka kufika so polisi wangewazibiti. Oky lakini nafsi yako inajua.
Tuwe wakweli jamani. Hao ni vijana wa Lema. haiwezekani kuwe na kundi la vibaka 50. Pole sana mkuu kwa yaliyokupata. inauma kama vile imenikuta mimi.Pole sana Mkuu huu ndiyo uzao wa CCM na miaka 50 yao madarakani kwa kweli .
..........natanguliza shukrani zangu mkuu..hao watakuwa underground dogs watoto wa line polisi fire na daraja mbili ingekuwa mitaa ya makao au kaloleni ingekuwa ni junior nako. Kama unataka kuipata nenda kwenye maduka ya used electronics hii njia ya makao ka unaenda masjid quba au nenda stend ya magari ya moshi tafta wale mashashaa watakuelekeza ila uandae pesa ya kutosha kuwalipa hii ndo chuga town leo ningekuwa town ungenipm ungeipata ila lazima unilipe
Kwa sisi wanasheria naona kama kuingia kichwani ngumu. Kwa mitaa ya metropole na makao makuu ya polis ar ni mita 400 so wangetiwa nguvuni faster na kama wanawaibia watu wameanzia mbali mpaka kufika so polisi wangewazibiti. Oky lakini nafsi yako inajua.