Wizara zinazofutwa hadharani

Wizara zinazofutwa hadharani

nimekuelewa sawa ndugu minyoo hiyo wizara apewe mtu mwenyewe uwezo pia anayejua umuhimu wa michezo. tunataka tuone mafanikio ya kweli. hao wawili wote hawafai kabisa

Napendekeza Venance Mwamoto awe waziri wa michezo!
 
Utabiri huu yawekezakana ukawa wa kweli, lakini nina shaka kidogo kwenye Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Kuifuta hiyo kitu ni jambo gumu kwa sababu ndiyo inayojihusisha na masuala yote ya watumishi wa umma. Bado napata shaka kidogo. Labda italetwa kwa jina jingine, lakini umuhimu wake haukwepeki.
 
Wizara ikifutwa maana yake hata staff wanakuwa redundant.
 
nashukuru kwa pendekezo. ngoja tuone Rais atamteua nani katika hiyo wizara

Iwe chini ya ofisi ya Rais ili aiongoze yeye, ateue watendaji tu na waripoti kwake. Hapo itakuwa kazi tu.
 
Uzuri mawizara hayana issue wala hayana sheria ya kuyaanzisha kama zilivyo idara, mamlaka, mikoa, wilaya na wakala za serikali. It's just by the President's pleasure that ministries are established and, in the same means, can be dissolved without any query or issue.

Huo ndio ubaya sasa bila ya kuandikwa kwenye katiba mambo ya msingi kama haya nchi itaongozwa kwa interest za MTU, kwaiyo akiondoka magufuli akija mwengine akiamua kuweka mawaziri100 tutafika?
 
Hadi sasa tunao wakubwa wanne na mambo yanaenda. kuna haja gani ya wengineee?

Magufuli

AG

PM

Ombeni Sefue


WANATOSHAAAA
 
Ndiyo tutapata matokeo tunayoyategemea, Unajua huyu Rais hata asifanye kitu chochote, yeye aseme anataka utendaji wa kwelikweli kwa hao atakaowateua, lazima wata Deliver tu.
itabidi awachague wale ambao wana sifa zinazofanana na zake. itakuwa rahisi kwa yeye kutoa maagizo then yafanyiwe kazi
 
Utabiri huu yawekezakana ukawa wa kweli, lakini nina shaka kidogo kwenye Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Kuifuta hiyo kitu ni jambo gumu kwa sababu ndiyo inayojihusisha na masuala yote ya watumishi wa umma. Bado napata shaka kidogo. Labda italetwa kwa jina jingine, lakini umuhimu wake haukwepeki.

Aiunganishe iwe pamoja na Wizara ya kazi na ajira.
 
kwa mwendo hu wakina mama washangilie heshima ya ndoa inarudi, michepuko, nyumba ndogo kutemwa mwaka huu, pia, waliopeleka watoto shule za 5m kukoma na kurudi kayumba.
 
Washauri wa Makufuli wanahitaji pongezi mpaka sasa - please rudini muhimbili mara moja mambo bado -
 
Kupunguza wizara 15 siyo mchezo. Wanaouliza pesa za elimu zitatoka wapi hawakuyajuwa haya. Nadhani tutaheshimiana tuu. Eti kuna watumishi walikuwa hawauhesabu mshahara wanakula posho tuu. Maguuuuuu! Bado Tanesco.

Hata michepuko yao tutaikula na sisi ilikuwa inajishebedua sana
 
nami najuta kwa nini kura yangu niliipeleka kuleeee kwa hasira ya kuchoka umangimeza wa chama kubwa

Sasa kama haikuwa na madhara unaanzaje kujuta akili zingne bana cjui zmechanganywa na nini
 
Back
Top Bottom