Wizara zinazofutwa hadharani

Wizara zinazofutwa hadharani

nami najuta kwa nini kura yangu niliipeleka kuleeee kwa hasira ya kuchoka umangimeza wa chama kubwa

Asante sana wewe hujachangia kuchaguliwa kwa magufuli lakini umechangia kwenye kasi na ari ya kutimiza ahadi aliyoingia nayo magufuli. Ile kampeni haikuwa yakitoto, na ukiona mtu mwenye tuhuma za ufisadi na ugonjwa kapata kura milioni sita ujue ni kutimiza ahadi au kufungasha mikoba baada ya miaka mitano. Asanteni sana ukawa ninyi ndio chachu ya haya yote tunayoyaona
 
Huku ni serikalini, usifikiri kwa wahindi. Ndio raha ya kuajiriwa serikalini

Wewe nyumbu nenda kaulize nduguzako wa NHC walivyofanywa (kumbuka hiyo ilifanyika wakati wa Mkwere)...hapo ndo utajua kuwa serikali ni ya wahindi au baniani
 
Ni vyema pia akafuta baadhi ya idara na wakala wa Serikali ama zingine akaziunganisha kwa pamoja.Pia nashauri angefuta cheo cha Mkuu wa Wilaya ili Wakurugenzi wa Halmashauri wakapewa meno na nguvu zaidi.Sambamba na hili Watendaji wa Vijiji na Mitaa wangelipewa meno na uwezeshaji zaidi kwa kuwa kuanzia kwao ndio Maendeleo yanapatikana...Nakubali kukosolewa.

Hapo kwa WATENDAJI VIJIJINI na WENYEVITI wa vijiji... Hapo umenena mkuu maana yake ni ufuatiliaji kuanzia chn mpaka juu.
 
Back
Top Bottom