Safari hii mawaziri watatumia Vitz hakuna kutumia magari ya bei kubwa.
Mkuu salary haziitii serikali hasara, na wala salary siyo matumizi yasiyo ya lazima. Kinachoondolewa ni yale matumizi yasiyo ya lazima ndo maana unasikia ameokoa kiasi cha pesa na kukipangia shughuli za kutoa huduma kwa wananchi wenye uhitaji. Kupunguza mawaziri 15 na manaibu wao ni pesa nyingi sana zingetumika kuwahudumia hawa ukichanganya na dili zao ni balaa.
Magufuli ni kusudi la Mungu!
Chadema ilipokuwa inapiga kelele baraza kubwa mliwazomea sasa mnamsifia Magufuli anaetekeleza ilani na rasimu za Chadema. Hovyoooo
Wizara ya michezo ibaki peke yake asichanganye na vitu vingine maana kilichofanya michezo kushuka kwa kasi ni kutokana na wizara kubeba majukumu kibao yakiwemo ya utamaduni na habari.
Actually hapo watakaopungua ni Mawaziri na Manaibu waziri. Hao watumishi wengine watabaki hapo kama sekta fulani au watapangiwa kazi nyingine, na salary kama kawaida
nami najuta kwa nini kura yangu niliipeleka kuleeee kwa hasira ya kuchoka umangimeza wa chama kubwa
another mouth diarrhea from you!!!Dr hamis kingwa asikose kwenye baraza lako plz...
We andika tu "many likes to u"
Abarikiwe aliyefanikisha ushindi wa Magufuli.
Hata kama ni Lubuva.
Tehtehteh............. Hivi wakati mwingine 'haramu' yaweza kugeuka kuwa baraka kubwa na halali?Abarikiwe aliyefanikisha ushindi wa Magufuli.
Hata kama ni Lubuva.
Hata michepuko yao tutaikula na sisi ilikuwa inajishebedua sana
Naona mabadiliko kwako ni kupata fursa ya kubembea na michepuko ya madingi !!