Wizara zinazofutwa hadharani

Wizara zinazofutwa hadharani

zifutwe tu hamna namna. wizara kibao cha maana hakionekani

Wizara ya michezo iwe wizara ya peke yake asichanganye na mambo mengine kama anataka michezo ikue kwa kasi, pia asimteue Nape kuwa Waziri wa Michezo kama tetesi zilivyozagaa na asimrejeshe juma Nkamia kama tetesi zingine zinavyosema, wizara ya michezo Safari hii awekwe Waziri mwenye kupenda maendeleo ya michezo na awe na speed kubwa.
 
nimekuelewa sawa ndugu minyoo hiyo wizara apewe mtu mwenyewe uwezo pia anayejua umuhimu wa michezo. tunataka tuone mafanikio ya kweli. hao wawili wote hawafai kabisa
 
Last edited by a moderator:
Wizara ya Michezo iwe peke yake iwe kama wizara ya fedha, wizara ya maji yaani michezo iwe na wizara ya pekee isichanganywe na vitu vingine kabsa. Hii itasaidia michezo kukua kwa kasi kubwa.
Kushuka kwa michezo kuna uhusiano mdogo na Wizara. Mi ningependa iwe idara tu na sio wizara.
 
Magufuli ni kusudi la Mungu!

tumpe muda sidhani kama ni busara kumpamba wakati uchumi wetu uko hoi ngoja miaka miwili ndipo tutoe tathimini maana hata akina Kikwete walianza vizuri sana na tukawpa sifa mwishowe hata rafiki wakaribu walimkimbia
 
Kura yangu haikupotea bure
Mungu azidi kukulinda na kukuongza vema rais wetu
 
nimekuelewa sawa ndugu minyoo hiyo wizara apewe mtu mwenyewe uwezo pia anayejua umuhimu wa michezo. tunataka tuone mafanikio ya kweli. hao wawili wote hawafai kabisa
Bendera na Nkamia hawakuwa watu wa mpira?
 
Last edited by a moderator:
Hapa posho, safari za nje n.k vitakuwa vimefyekwa kwa kiasi kikubwa.
 
Wizara ya Michezo iwe peke yake iwe kama wizara ya fedha, wizara ya maji yaani michezo iwe na wizara ya pekee isichanganywe na vitu vingine kabsa. Hii itasaidia michezo kukua kwa kasi kubwa.

Vipi, ndio unapopigia mkwanja nini???
 
Mh. Raisi Magufuli nazipongeza sana jitihada zako za kuhakikisha Tanzania inakuwa na baraza dogo la mawaziri litakalokuwa na tija kubwa kwa Watanzania. Tunahitaji mawaziri committed na wenye nia safi na nchi hii, na si vinginevyo. Mungu ibariki Tanzania.
 
Kikwete anajisikiaje.
bavicha hawawezi kumsahau kikwete,ha ha ha,,anyway kila rais na style yake,

mkuu kama hukujenga enzi ya kikwete kwazile posho za kwenda semina za kujifunza mahesabu ulaya,imekula kwako
 
Hatuna jinsi ni kuzifuta tu.

watumishi wa serikalini matumbo joto, hasa katika Wizara.

Daaaaaaaaa!!!!! wengine ndio tulipelekwa na wajomba zetu hatuna hata ujuzi sijui tutaenda kufanya kazi gani masikini weeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!

Na kulima hatuwezi, kusukuma mkokoteni tunaona aibu!!!!!!!!!!!!

Tulishazoea kula ten percent sijui tutaishije.

Watoto wangu wanasoma English Medium School, shule za kata mtihani kwao hawajazoea kusoma kwa kupiga PUSH UP!!!!!!!!

Watoto wetu walishazoea kwenda shule na gari la serikali, hawawezi kupanda daladala!!!!!

Mke wangu sokoni na saloon anapelekwa na gari la serikali!!!!!

TULISHANGILIA NA KUMCHAGUA MAGUFULI, KUMBE ANATUNYANG'ANYA ULAJI WETU. DAAAAAAAAAAAAA!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom