THE PUBLIC HEALTH ACT, 2009
Hii ni sheria ya kupambana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindu pindu na haya ndio majukumu wa wizara ya afya
4.-(1) The Minister shall promote, preserve and maintain acomprehensive, functional and sustainable public health system inMainland Tanzania for the pUrpose of -(a) securing improvement in the health habits and lifestyles ofpeople living in Tanzania;(b) securing environmental sanitation and hygiene;(c) preventing and controlling living infectious or communicableand other diseases; and(d) providing guidance to the Authority and other authorities inregard to matters affecting public health.
Haya ni majukumu ya regulator
5. Every Authority shall-(a) take lawful, necessary and reasonable measures to preventthe occurrence of or deal with any out-break or prevalenceof any infectious or communicable and non-communicabledisease;(b) cause an appropriate Environmental Health ImpactAssessment Study to be conducted for all activities as maybe provided for under the Environmental Management Act;(c) safeguard and promote the public health standards;(d) issue notices for rectification of any breach of public healthstandards;(e) implement and enforce public health standards through bylaws;(f) promote public health standards in its area through creationof awareness and educational campaigns;(g) carry out inspections; and(h) exercise the powers or perform duties in respect of the publichealth in accordance with this Act or any other written law.
Hapo wizarani pia wana kitengo cha quality management; bado unataka kuniambia uzembe wa chini ni tatizo wakati wazi jamaa wanapwaya kwenye nafasi zao sio kwamba awaoni waendesha masoko ni machafu, TFDA inatoa vibali ya biashara ya vyakula vinavyouzwa sehemu chafu and all the nonsese wanazofanya huko juu.
Afadhali basi wangeseme wanakwama kutokana na resources zao. Lakini unapopewa majukumu wewe ndio unatakiwa uwe na mikakati ya kufikia malengi usitafute sababu; vitu vya ajabu hivi halafu juzi katibu mkuu wa wizara ya afya anajifanya anahamasisha usafi huu usani sasa umezidi na lawama wanataka kuwatupia wasio na sauti pia kisa wao ndio washauri wa kisera; the problem is at the top not the botton those are just outcome of poor management to implement government strategies.
Tazama hili sakata na sheria husika
Hiyo jana katibu mkuu wa wizara baada ya tamko la raisi hapo sasa anatafuta mchawi kwa makosa yao wao wenyewe
Hali halisi ya kila siku kwa mtanzania na afya, sio hapo tu mahala kibao watu wanaishi na health hazards au ufisadi na sheria zipo. Ata sheria ya manunuzi sio tatizo bali wasimamizi wa sheria yenyewe na management issues tu ukisoma mwongozo wake.
Sasa yanapotokea matatizo utasikia muhusika mkuu anapita nakuanza kulaumu watu wa chini. Hila hakuna wakuwauliza wao hiko wapi procedure framework ya sheria husika kusimamia usafi kutoka wizarani (au ata manunuzi ya serikari), system ya usafi ikoje na procedue zake, nani anajukumu lipi kuanzia serikari za mitaa na wamepewa expectations zipi na wizara, nani anakagua mazingira ya usafi kama sheria inavyotaka na kwa muda upi kuhakikisha sheria inafikia malengo.
Likitokea sakata au ugonjwa anatafutwa mchawi ndio utasikia mkuu wa mtaa au serikari za mitaa sijui manispaa wanapewa lawama; wakati hakuna framework ya wizara inayotoa mwongozo au TFDA kuhusu usafi, afya na usimamizi wake in the first place as part of standardization of the policy procedures anywhere; matokeo yake ndio haya.
Management Tanzania ni tatizo kwa sasa kufuta wizara ya raisi na utawala bora kabla ya kutatua tatizo sugu itakuwa ni makosa makubwa sana uzembe umezidi kila sehemu na sheria zipo. Wakishafanya uzembe wahusika kinachofuata ni kutafuta wanyonge kwa kushindwa kutimiza wajibu wao, raisi anatakiwa kujua all the time uzembe unapotokea taratibu zikoje na chanzo kiko wapi watu wapewe adhabu stahiki.
Isitoshe uzembe mwingine unaenda kuongeza nyongeza ya utoaji wa huduma ambapo gharama zake zingeweza kwepeka kabisa kama hilo tatizo la Magu wakati sheria hiko wazi nini kilitakiwa kifanyike ili hayo mambo yasitokee kabisa na waliopewa hayo majukumu wanajulikana kisheria.