Msemakweli2020
New Member
- Jan 21, 2020
- 1
- 2
Kenya Airways Tanzania imekuwa na foreign staff kwa zaidi ya miaka sita akifanya kazi ambayo Watanzania wanaweza kuifanya kikamilifu, ambayo si ya kitaaluma (non expert), staff hawajafanyawa review ya mshahara kwa zaidi ya miaka kumi (10).
Hakuna gratuity hata kwa staff waliokaa kwenye kampuni kwa zaidi ya miaka mitano. Salary na benefits gap kati ya wageni na Watanzania ni kubwa kupita kiasi, wageni wanapewa allowance while kwa Watanzania wanasema ziko consolidated ukizingatia mshahara ni mdogo kupitiliza.
Meneja wa Kenya Airways Tanzania airport ambaye ni Mkenya amekuwa akitumia nguvu nyingi kuhakikisha ame-renew mkataka kwa miaka sita sasa, pamoja kwamba amekuwa akiwekewa pingamizi mara nyingi, amekuwa akitumia hata njia siziso halali mradi tu apate permit ya kuendelea kufanya kazi Tanzania, anatumia nafasi yake kuwagawa staff kiubaguzi na kuchagua wachache ambao wana serve interest yake kwa kuwa nao karibu na kuwapa benefits ambazo wengine hawapati.
Sent using Jamii Forums mobile app