Wizara ya Uhamiaji: Meneja wa Kenya Airways airport Tanzania yuko kikazi zaidi ya miaka 6

Msemakweli2020

New Member
Jan 21, 2020
1
2
Kenya Airways Tanzania imekuwa na foreign staff kwa zaidi ya miaka sita akifanya kazi ambayo Watanzania wanaweza kuifanya kikamilifu, ambayo si ya kitaaluma (non expert), staff hawajafanyawa review ya mshahara kwa zaidi ya miaka kumi (10).

Hakuna gratuity hata kwa staff waliokaa kwenye kampuni kwa zaidi ya miaka mitano. Salary na benefits gap kati ya wageni na Watanzania ni kubwa kupita kiasi, wageni wanapewa allowance while kwa Watanzania wanasema ziko consolidated ukizingatia mshahara ni mdogo kupitiliza.

Meneja wa Kenya Airways Tanzania airport ambaye ni Mkenya amekuwa akitumia nguvu nyingi kuhakikisha ame-renew mkataka kwa miaka sita sasa, pamoja kwamba amekuwa akiwekewa pingamizi mara nyingi, amekuwa akitumia hata njia siziso halali mradi tu apate permit ya kuendelea kufanya kazi Tanzania, anatumia nafasi yake kuwagawa staff kiubaguzi na kuchagua wachache ambao wana serve interest yake kwa kuwa nao karibu na kuwapa benefits ambazo wengine hawapati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata sisi tulikua na mmoja hapa ofisini kwetu kaondoka juzi na bado nasikia anataka kurudi
 
Mkuu hata hapo ulipo tu UMESHINDWA kujituma kufikia level za huyo meneja ndo maana umekimbilia huku!!
Leo ni siku ya kazi na mda huu ulipaswa uwe unatimiza wajibu wako hapo ofisini kwako ila we unautumia mda wako kuingia mitandaoni kuandika majungu!

We endelea tu kuna watu wengi Sana pia wanainyemelea nafasi yako kama we unavyoitolea udenda nafasi ya meneja wako!

Karibu tulime matikiti huku hakuna mambo ya ubaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeyasikia malalamiko yako kitengo husika kitayafanyia kazi.

Tunashkuru sana kwa ushirikiano.
 
Lazima sisi watanzania tujiulize kwanini kampuni nyingi wanatukwepa badala ya kulalamika maana hakuna kampuni inataka kuingia gharama ikiwa wanaweza kuajiri kwa bei ndogo. Kenya Airways sio wao tu nenda kote huko kwa kina Mo au Azam sehemu muhimu wameshika wageni na mimi sitaki kuwalaumu sababu na amini kuajiri wa bongo kuna changamoto sisemi wote ila tukubali tunatizo. Uaminifu mdogo sana tukianza kuiba basi tunaiba mpaka mtaji wenzetu wanaiba lakini sehemu ya faida. Si tunaona airport zidisha kilo kidogo ukitoa chochote mzigo umepita huo ndio ukweli acha huku mijini watu wanaiba sana ni kuzidiana tu nani anaiba zaidi ila hatuaminiki ukweli mchungu.
 
Mkuu hata hapo ulipo tu UMESHINDWA kujituma kufikia level za huyo meneja ndo maana umekimbilia huku!!
Leo ni siku ya kazi na mda huu ulipaswa uwe unatimiza wajibu wako hapo ofisini kwako ila we unautumia mda wako kuingia mitandaoni kuandika majungu!!
We endelea tu kuna watu wengi Sana pia wanainyemelea nafasi yako kama we unavyoitolea udenda nafasi ya meneja wako!
Karibu tulime matikiti huku hakuna mambo ya ubaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana ila umeongea point
 
Lazima sisi watanzania tujiulize kwanini kampuni nyingi wanatukwepa badala ya kulalamika maana hakuna kampuni inataka kuingia gharama ikiwa wanaweza kuajiri kwa bei ndogo. Kenya Airways sio wao tu nenda kote huko kwa kina Mo au Azam sehemu muhimu wameshika wageni na mimi sitaki kuwalaumu sababu na amini kuajiri wa bongo kuna changamoto sisemi wote ila tukubali tunatizo. Uaminifu mdogo sana tukianza kuiba basi tunaiba mpaka mtaji wenzetu wanaiba lakini sehemu ya faida. Si tunaona airport zidisha kilo kidogo ukitoa chochote mzigo umepita huo ndio ukweli acha huku mijini watu wanaiba sana ni kuzidiana tu nani anaiba zaidi ila hatuaminiki ukweli mchungu.
Nakuunga mkono
 
Msemakweli2020,
Mkuu shukuru umeanza kuzoea matunda ya East Africa Community bado kidogo itakuwa official kwa members` citizens kufanya kazi within member states bila masharti.

Nakushauri uchape kazi tuuu kiongozi mshahara na magratuity yatakufuata soon
 
Station Manager wa ET sio Mtanzania

Station Manager wa QR sio Mtanzania

Station Manager wa WB sio Mtanzania

Station Manager wa MS sio Mtanzania

Sidhani kama hoja yako ina logic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
linapokuja swala la management tz tuna macheckbob tu ..na watu wengi (wawekezaji) hawatuamin hayati mzee mengi tu na uzalendo wake bonite alijaza ma khanji bhai
 
Jitu likiwa na bando linakoment chochote hata kama halijui chochote, usikute upo chuo ngoja umalize uje na wewe kulialia mtaani.

Kama huna uelewa na jambo soma comments utajifunza kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue na uelewe sasa ndiyo kwanini hupewi hiyo nafasi, upashkuna, fitina, kizabizabina, chuki, majungu na uchawi....

Watz tuache hizi tabia....nani atakupa position kwa akili hii??😒

Everyday is Saturday.................😎
 
Kenya Airways Tanzania imekuwa na foreign staff kwa zaidi ya miaka sita akifanya kazi ambayo Watanzania wanaweza kuifanya kikamilifu, ambayo si ya kitaaluma (non expert), staff hawajafanyawa review ya mshahara kwa zaidi ya miaka kumi (10).

Hakuna gratuity hata kwa staff waliokaa kwenye kampuni kwa zaidi ya miaka mitano. Salary na benefits gap kati ya wageni na Watanzania ni kubwa kupita kiasi, wageni wanapewa allowance while kwa Watanzania wanasema ziko consolidated ukizingatia mshahara ni mdogo kupitiliza.

Meneja wa Kenya Airways Tanzania airport ambaye ni Mkenya amekuwa akitumia nguvu nyingi kuhakikisha ame-renew mkataka kwa miaka sita sasa, pamoja kwamba amekuwa akiwekewa pingamizi mara nyingi, amekuwa akitumia hata njia siziso halali mradi tu apate permit ya kuendelea kufanya kazi Tanzania, anatumia nafasi yake kuwagawa staff kiubaguzi na kuchagua wachache ambao wana serve interest yake kwa kuwa nao karibu na kuwapa benefits ambazo wengine hawapati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ATCL USIUMIZE KICHWA KILA SHIRIKA.LINA SHERIA ZAKE
NENDA JANGALIE RWANDAIR INA MNYAKUSA AMA.MNGONI MANAGER. WENGI WANATOKA KWAO
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom