Glue
Senior Member
- Jan 14, 2011
- 156
- 49
- Thread starter
- #21
Tutumie nini sasa?Tafadhalini sana.... Msinunue wala kutumia mkaa utokanao na mazao ya misitu yetu...
Mtatuletea jangwa na madhila mengine ya mabadiliko ya tabia ya nchi (climate change)!
Alafu kwanza kwanini utumie mkaa ambao vile vile unazalisha carbonmonoxide..??