Wizara ya Kazi Tanzania kwa hali hii tutafika kweli? Bado kuchukuliwa wake zetu kilichobaki...

Blood Hurricane

JF-Expert Member
Jun 21, 2012
1,175
301
Katika hali hii tunaelekea wapi? Inasikitisha sana Serikali kukaaa kimya. Kuwepo na kikomo cha ajira.

Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana ikiwa inapiga Soga ajira hata zile ndogo za Watanzania Wazungu wameshazivamia tunaelekea wapi..!!!!

Kwa picha zilizopo hapo chini wadau mnasemaje?

mwekezaji_1.jpg mwekezaji_2.jpg

Ndio nimesema hata wake zetu mnaolalama mtakuja kuchukuliwa sio ajira tu......

Nawasilisha.
 
Hakuna uhusiano wa moja kwa moja wapicha zilizopo hapo na ajira za watanzania kuchukuliwa na wageni.
What if huyo mzungu ni CEO wa kampuni fulani, na hapo wamenunua cement kwa ajili ya ujenzi, kisha yeye akajitolea tuu kusaidia wafanyakazi wake kubeba hizo cement?

Unless kama kuna maelzo mengine yenye ushahidi kuhusu hizo picha.
 
Katika hali hii tunaelekea wapi? Inasikitisha sana Serikali kukaaa kimya. Kuwepo na kikomo cha ajira.

Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana ikiwa inapiga Soga ajira hata zile ndogo za Watanzania Wazungu wameshazivamia tunaelekea wapi..!!!!

Kwa picha zilizopo hapo chini wadau mnasemaje?

View attachment 164683View attachment 164684

Ndio nimesema hata wake zetu mnaolalama mtakuja kuchukuliwa sio ajira tu......

Nawasilisha.

Huyo ni mzungu au albinoo.Mm,siamini.
 
Serikali ya CCM haina mpango wa kutengeneza ajira,.

............zinduka............
 
Back
Top Bottom