The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,443
- 2,954
Wakuu NIko kwa Mjomba huku ndani ndani 😂, Kuna mtoto wake anasoma darasa la sita (6).
Sasa huyu mpwa kaniletea swali wamepewa homework darasani, nadhani ni somo la Historia au Hostoria ya Tanzania nimsaidie majibu ya homework.
Swali lenyewe linasema hivi " Taja watu walioshirikiana na Mwl Nyerere kupigania uhuru wa Tanganyika na waliomsaliti"
Hapo nikakwama kidogo na kuanza kuwaza kwamba kumbe kuna watu watanganyika wenzetu walimsaliti Mwl ,aah ndo nikakumbuka kina Kambona ,Bibi Titi na wengineo ,nikacheka kwanza 😂😂, halafu ubongo ukawaza tena inamaana waliopingana na Mwl kwa kutofautiana Ideologies leo hii wanaitwa wasaliti?😂
Na watpto wanafundishwa darasani kabisa maskini ,hivi wanafamilia wa kina kambpna ,Bibi titi na wengineo wanajisikiaje licha ya juhudi zote walizotumia kupambania Taifa lao 🤔.
Wizara acheni kuwalisha watoto sumu hata kama ni historia