Wivu kwa mchepuko

Ukiwa na kibamia hata uhonge ghorofa, kusaidiwa ni lazima.

Wenye mipini pia kama hamko imara mjipange kusaidiwa.
 
Basi mkubali kulizwa tu
Kwani yeye kakataa kulizwa mwenzio ndo anasumbua sasa hivi au hujamuelewa hapo atakae umia ni mchepuko ilitakiwa mumponde huyo mdada mana alihifadhiwa kimaisha au unapenda aende kujipanga na yeye?
 
Ukiwa na kibamia hata uhonge ghorofa, kusaidiwa ni lazima.

Wenye mipini pia kama hamko imara mjipange kusaidiwa.
Ndio maana kanisani walituambia tutulie tungoje yule mume unaefunga nae ndoa, sasa kama hujui utamu mwingine zaidi ya kibamia utahangaikia wapi?
 
piga chini huyo mtafute mchepuko mwingine......

Hii option yako akifikiria investment mpya lazima kichwa kiume. Kodi nyingine, mtaji wa duka, furniture, halafu nauli tena ya kutoka Dodoma ha ha ha haaaaaaaa. Halafu sasa itabidi aongeze motisha wa ka Vitz! kazi kweli kweli mimi namshauri asitafute replacement mpaka Magufuli amalize muda wake! Mimi nimefanya hivyo bila shuruti!
 
Kwa hiyo kama mtu anakup furaha humsaidii maisha?

Hapo nikama kamsaidia ajimudu kimaisha kashindwa kujiheshimu ndo keshatemwa
 
Kama hawezi kuka bila pa..chi awe anasafiri na mkewe.
 
hahahaa hapo kwenye red.....embu mpe mbinu mwenzio wazee wa michepuko.
 
Bora umekuja kunitetea mkuu Manga ML
Hawajui kua tukiacha michepuko wataadhirka sana alienacho hamjui mwenye njaa huyo mdada apo atachekwa mbayaaaa mtaani na huyo atajuta mbaya usijibu wee kula kimya hamia kwa mwingine wapo wengi wazuriiii hawana maisha
 
Do kweli ndoa ndoano, wakati mke wako anasafiri anahangaikia familia wewe unapata mtaji wa kufungua madua. Fikiria huyo bi dada ni wangapi wazuri anaokutana nao lakini anajua anacommitment, au wenzetu definition yake bado hamjaielewa?
Anhalia sasa mwanzo mlikua manalalama ungewezesha mkeo hizo safari ni zamatembezi au na kawezeshwa
 
Waswahili hatuna salama waache walalame
 
Diva, Ukiwa na nia, then ukajikubali na kuwa na hofu ya Mungu, mbona utaweza tu..., ila mh unatetea sana uchepukaji Mkuu.
Ujue Mpaka mtu achepuke kuna kitu anatafta cha kumridhisha mana kero za ndoa zisiporekebishwa shida mchepuko unajua Ku peti peti mno wote mnajiachia tu kwa raha bila stress
 
kwa mchepuko wako kuchepuka katika nyumba unayolipia kodi ni dalili ya wivu au ni kujihisi umefanywa mjinga?
R Mbuna, una mke na mchepuko, mchepuko naye ana mchepuko ambao possibly nao una mke au mchepuko....... Hapo hatujahesabu kwa mkeo kipenzi ambaye huko safarini labda naye alitafuta "pa kupumzika" baada ya uchovu.... Tafakari!!!!!!
 
Ndio maana kanisani walituambia tutulie tungoje yule mume unaefunga nae ndoa, sasa kama hujui utamu mwingine zaidi ya kibamia utahangaikia wapi?
Tatizo wengi wanatulia mpaka wanapoolewa ila baada ya kupata utamu halisi wa mara ya kwanza wanataka kujaribu na kwa wengine utamu uko vipi?

Filamu za ngono zinachangia kufanya wenza wachepuke kwani pale anaona saizi mbalimbali na mapigo yake pia.
 
Anaweza kupata wa kufunga nae ndoa, kheri kuliko janaba la mume wa mtu.
Kama wanapatikana kibwege hivyo alikua anasubili nini mpaka kawezeshwa?

Kama una mume shukulu mume mwenye nafasi hapatikani hovyo angalia warembo wanavyo jiuza
 
Tatizo wengi wanatulia mpaka wanapoolewa ila baada ya kupata utamu halisi wa mara ya kwanza wanataka kujaribu na kwa wengine utamu uko vipi?

Filamu za ngono zinachangia kufanya wenza wachepuke kwani pale anaona saizi mbalimbali na mapigo yake pia.
Na hakuna dini inayoruhusu kuangalia hizo filamu za ngono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…