Wito wa kikao kwa WanaJf Ubungo Plaza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito wa kikao kwa WanaJf Ubungo Plaza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by apolycaripto, Mar 6, 2011.

 1. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Baada ya kufanya tathmini,tumebaini member wa Chadema ni wakutosha humu janvini,wana mapenzi bora yaliyotukuka kwa chama na wako tayari kufa ama kuona damu inamwagika ili ukombozi upatikane kwa maana ya CCM kung'ooka.Tumekuwa tukiwapa moyo
  wapiganaji wenzetu Arusha na haya maandamano ya kanda ya Ziwa.
  Tukiwa great thinkers na kama sehemu muhimu katika hizi movement,sasa badala ya wapenzi wetu kutusoma tu,tumeona ni wakati muafaka na sisi kukutana na kutoa tamko rasmi siku ya tarehe 9/3/2011 saa 9.30 Asub Ubungo Plaza ambapo mkutano huu utakuwa na coverage ya kutosha .Kufanya hivi kutaongeza na kukuza imani kubwa kwa Watanzania kuwa tupo pamoja nao na kweli ni wapiganaji wa kweli,tupo tayari kufa kwa sababu ya Dr. Slaa na Freeman Mbowe na wala wasidhani kuwa sisi ni waoga na watoa sauti nyuma ya pazia.

  peeeeeeopleeeees Power!
   
 2. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mmmhhhh!!! akili za kuambiwa changanya na zako..........:A S 13:
   
 3. U

  Uswe JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kufa kwa ajili ya mbowe na slaa hapana!

  .
  Nipo tayari kupigania demokrasia ya kweli, uhuru wa kweli, uchumi bora, elimu nzuri, maisha bora kwa kila mTZ, lakini nife ili mboe achukue milioni tisini HAPANA!
   
 4. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  acha woga babu lao, hata hivyo umenichekesha sana.
   
 5. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Haya shime wanajf. Hii ndo fursa muhimu
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  heee! Nifafanulie hapo kabla sijahairisha kuja.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mjomba,

  Nakupongeza kwa wazo lako!

  Kama unamaanisha unachoandika, hili ni wazo la msingi kabisa!

  Kukaa nyuma ya keyboard tu na kuandika sentenso, productivity yake ni minimal.
  Kwa wale ambao watakuwa radhi kukusanyika, napendekeza yafuatayo YAFANYWE NA MLETA MADA!

  i. Weka hadharani agendA ZA KUSANYIKO lenu, maana wengine tunavutwa zaidi na agenda.

  ii. Anonimity iwe utilized at maximum...i mean Aidha watu watumie majina ya nyumbani, au waachane na
  agenda ya utambulisho kabisa.

  iii. Agenda ziwe result-Oriented, na si hadithi za kufurahishana...Kuna mambo mengi sana ambayo yapo kwenye uwezo wa wanaJF, yanayoweza kufanyiwa maamuzi ya bila kuvuta muda.

  iv. Kama tunaweza kukutana kwaajili ya starehe na kupongezana kwa wikiendi, kwanini tusiweze kukutana kwaajili ya yale tunayohubiri kila siku hapa majukwaani.


  Naunga mkono hoja!
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  .
  Utopian politician...Ni bora kuwa maiti kuliko kuwa na mawazo ya jinsi hii!...Bora kuwa mfu!
   
 9. G

  Godwine JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  nadhani wote tunapenda taifa letu zaidi ya vyama vya siasa na wana jf si wapenzi wa vyama zaidi ya taifa nadhani mboe. dr slaa na jk watapita lakini taifa litabaki kwa hiyo basi nadhani si vema watu wa jf wasikutane wakiwa na majibu ya kile wanachotaka kujadili cha msingi ni watu wataodhani wanaweza kukutana wakutane na kuzungumza juu ya mwenendo wa taifa na nini cha kufanya ili kuliwezesha taifa kuneemeka kutokana na rasilimali zake.
  napenda kueleza ya kuwa isifike wakati mawazo ya wanajf yakawa yanafanana kwani kutapoteza radha ya forum yenyewe kwani wengi tulio humu tunakuwepo kwa sababu ya kupata mawazo tofauti na si hitikadi za watu fulani
   
 10. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  You're Jf Seniour member with inducement from accross those two ways. Kuna watu wanavuta bangi pale!
   
 11. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tuko pamoja kabisa
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hapo kwenye red naamini ulitaka kuandika aidha saa 3.30 za asubuhi, au saa9.30 za alasiri, lakini kwa hivyo ilivyo sasa haiko clear!..Weka sawa hilio....Uzungu huu unatuathiri, au msisitizo!
   
 13. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha haaaa!!

  Mie ntakuwa tayari kufa kwa ajili ya familia yangu, i, me and myself......ujamaa ulishakufa ati!!
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Mkuu PJ Heshima mbele,

  Binafsi namuunga mkono Ndugu Uswe kutokana na ukweli kuwa mwanzisha mada amekusudia zaidi hili suala kuwa kichama. Tukumbuke kwamba hapa JF kuna members ambao siyo wana-CHADEMA lakini wanaunga mkono harakati za CHADEMA kutokana na ukweli kuwa zinagusa maslahi ya watanzania wote. Hivyo badala ya kumshambulia Ndugu hapo juu, tungeangalia namna ya kulitengeneza hili wazo ili lisiegemee chama chochote. Na kwa kuanza mwanzisha mada afute kauli yake ya Kufa kwa ajili ya Mbowe na Dr. Slaa badala yake iwe ni kwa ajili ya watazania wote wanaoteseka na mfumo mbovu wa Uongozi.

  Naomba kuwasilisha.
   
 15. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Leo umekuwa mpenzi wa Chadema na kupongeza maandamano ya CDM you must be joking, endelea na mipango yako ila humpati mtu kwa njia hiyo, changanya na zako.
   
 16. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Wewe ndiyo upo tayari kufa kwa ajili ya Slaa usifikiri unaandikia watoto wadogo, siku nyingine waza kwanza kabla ya kufikiri.
   
 17. Silas Haki

  Silas Haki JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Acha kuwa mwoga wa kivuli chako, ni maisha bora gani unayoyapigania kwenye meli yenu ya CCM ambayo nahodha wake ni mafisadi?
   
 18. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba uniuzie hii komedi. Nikiifanyia editing kidogo tu inalipa.
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  katika lipi?
   
 20. S

  Smarty JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  duh mkutano huo utakuwa wa ukwe-e. Ila itapendeza kama moja ya ajenda itakuwa juu ya kupunguza mapato(mavuno) ya wabuge wetu. Million 12 kwa mwezi sawa na Tsh laki nne kwa siku. Juzi kati wamepewa million 90 mkopo ambazo ukigawa kwa mwaka ni million 18, anafanya kazi gani itakayomuwezesha kurudisha mkp huo ndani ya miaka 5?. Akiacha ubunge analipwa kiinua mgng million 60. Ha ha ha ha mbowe unawapenda wtz kweli mbona hujakataa hela hiyo kaka?? Ongeza ya kwako,....
   
Loading...