Wito wa kikao kwa WanaJf Ubungo Plaza

Baada ya kufanya tathmini,tumebaini member wa Chadema ni wakutosha humu janvini,wana mapenzi bora yaliyotukuka kwa chama na wako tayari kufa ama kuona damu inamwagika ili ukombozi upatikane kwa maana ya CCM kung'ooka.Tumekuwa tukiwapa moyo
wapiganaji wenzetu Arusha na haya maandamano ya kanda ya Ziwa.
Tukiwa great thinkers na kama sehemu muhimu katika hizi movement,sasa badala ya wapenzi wetu kutusoma tu,tumeona ni wakati muafaka na sisi kukutana na kutoa tamko rasmi siku ya tarehe 9/3/2011 saa 9.30 Asub Ubungo Plaza ambapo mkutano huu utakuwa na coverage ya kutosha .Kufanya hivi kutaongeza na kukuza imani kubwa kwa Watanzania kuwa tupo pamoja nao na kweli ni wapiganaji wa kweli,tupo tayari kufa kwa sababu ya Dr. Slaa na Freeman Mbowe na wala wasidhani kuwa sisi ni waoga na watoa sauti nyuma ya pazia.

peeeeeeopleeeees Power!

make it a bit formal, we will be there!
 
Nawapendeni wanachama wa jf ila siipendi chadema. Msijaribu kujikusanya na kutoa matamko, mta ambushiwa mpaka mshangae.
 
Mkuu Wazo lako sio baya ila timing sio nzuri hata kidogo. Wengi wetu ni waajiriwa wa serikali na hiyo tarehe unayopendekeza tukutane ni siku ya kazi ambayo wengi wetu tutakuwa maofisini. Halafu huo muda wa saa 9:30 asubuhi sijui umekaaje. Hivi kweli tuna saa 9:30 asubuhi au ulitaka kusema jioni?

Tiba
 
Nafikiri hicho kikao ni cha CDM na si cha great thinkers kama ni kufa kwaajili ya Mbowe na Slaa. Humu ndani tuko vyama vyote na wengine hawana itikadi ya chama chochote.
 
We need to know the different btn be coward and to act with caution

Hata ni kipindi ambacho tahadhari inahitajika na hii tahadhali si uwoga....

Tamko kwanza lina maeno ambayo yana shaka ndani yake ..to me I smell fishy!

Next nani kasema wana JF wanaishia hapa ,how do you know that ...?
 
mkuu sijaelewa thread yako coz heading na mada haviendani,umeanza kutaja location bila muda na siku wala tarehe au ilikua ni suggestion tu?
 
Ni kweli kuwa kwa wenzetu vuguvugu huanzia mitandao ya kijamii kama fb, twt, n.k. Kwa hapa bongo sijui. Kuhusu kukutana labda ingetumika njia mbadala zaidi
 
Tafadhali acheni kufanya mzaha kwa mambo ya mzingi; wanajamvi walio wengi ni watu makini hivyo hawawezi kujitumbukiza katika jambo lolote ambalo halifahamu vizuri; hivyo tunataka kujua hao muliokutana na kufikia huo uamuzi unaotujulisha hivi sasa ni hakina nani, na hicho kikao chenu kilihitishwa na nani? Na wajumbe wa kikao hicho waliteuliwaje, na hiki kikao kinachihitishwa hivi sasa ni nani atakigharimia?
 
Mjomba,

Nakupongeza kwa wazo lako!

Kama unamaanisha unachoandika, hili ni wazo la msingi kabisa!

Kukaa nyuma ya keyboard tu na kuandika sentenso, productivity yake ni minimal.
Kwa wale ambao watakuwa radhi kukusanyika, napendekeza yafuatayo YAFANYWE NA MLETA MADA!

i. Weka hadharani agendA ZA KUSANYIKO lenu, maana wengine tunavutwa zaidi na agenda.

ii. Anonimity iwe utilized at maximum...i mean Aidha watu watumie majina ya nyumbani, au waachane na
agenda ya utambulisho kabisa.

iii. Agenda ziwe result-Oriented, na si hadithi za kufurahishana...Kuna mambo mengi sana ambayo yapo kwenye uwezo wa wanaJF, yanayoweza kufanyiwa maamuzi ya bila kuvuta muda.

iv. Kama tunaweza kukutana kwaajili ya starehe na kupongezana kwa wikiendi, kwanini tusiweze kukutana kwaajili ya yale tunayohubiri kila siku hapa majukwaani.

Naunga mkono hoja!

PJ uko sahihi,tatizo ni jinsi mtoa mada alivyo ipresent,ina maneno ya mitego mitego kama vile tuko tayari kufa kwa ajili ya Dr slaa/Mbowe,hiyo kitu hakuna,i think the guy is not serious,may be aipange vizuri aje upya.
 
Nawapendeni wanachama wa jf ila siipendi chadema. Msijaribu kujikusanya na kutoa matamko, mta ambushiwa mpaka mshangae.

Inawezekana tu MkamaP hakuna shida hapo usiwatishe watu ilimradi tu iwe organized vizuri!
 
Hapa ndo utajua kuwa ulimbukeni wa mitandao ndo huu. Watu mnahamasisha vurugu kwa sana, watu mnaandika utumbo tena uliooza,watu wanaandika upumbavu humu, sasa mnaambiwa mkutano ubungo mnaanza kujinyea nyea, acheni unafiki wa kuisaliti nchi yenu wenyewe. This will be a gud time kwa wazee wa kazi, kurecord wasaliti wote wa nchi.
 
Nitapigania taifa na wanyonge wanaonyonywa na mafisadi hilo la wewe kufa kwa ajili ya mbowe na slaa unatakiwa ukapimwe kiwango cha uharibifu wa akili yako mirembeeeeeeee
 
Slaa na Mbowe wana Maisha mazuri na wanalipwa Vizuri sana, Wanachotaka ni Kuingia Ikulu kwani kule Kuna Maslahi makubwa zaidi. Kinachoacha mpaka Mtake kujitoa Roho kwa ajili Yao ni kipi Hasa?
 
Jamiiforums ni kisima cha nadharia/mawazo (tazama hapo chini wengine waliokuwa kisima cha mawazo) kusaidia 'nguvu ya umma' kupata uelewa wa nafasi yao ktk uongozi wa dola na hivyo hilo wazo la JF kufanya kikao ambacho sio online au virtual reality siyo mission ya JF.

  • Karl Max + Friedrich Engels - Communist manifesto
  • Mao - The little red book
  • George Orwell - Animal farm
  • Nyerere - kijitabu Tujisahihishe,
  • JamiiForums
  • Mandela alipokuwa Robben island
  • n.k
 
Hapa ndo utajua kuwa ulimbukeni wa mitandao ndo huu. Watu mnahamasisha vurugu kwa sana, watu mnaandika utumbo tena uliooza,watu wanaandika upumbavu humu, sasa mnaambiwa mkutano ubungo mnaanza kujinyea nyea, acheni unafiki wa kuisaliti nchi yenu wenyewe. This will be a gud time kwa wazee wa kazi, kurecord wasaliti wote wa nchi.

Ni utumbo upi unaousemea ndugu Mark,fafanua kwa hoja na kama hoja yako ina mashiko tutakuelewa usiwe mkali au maslahi yako yanataka kuchakachuliwa na hicho kikao?
 
Hapo kwenye red naamini ulitaka kuandika aidha saa 3.30 za asubuhi, au saa9.30 za alasiri, lakini kwa hivyo ilivyo sasa haiko clear!..Weka sawa hilio....Uzungu huu unatuathiri, au msisitizo!
afu hiyo siku nadhani ne working Day ama?nijuzeni basi!maana tusije onekana wana JF hatuna kazi za kufanya!
 
Baada ya kufanya tathmini,tumebaini member wa Chadema ni wakutosha humu janvini,wana mapenzi bora yaliyotukuka kwa chama na wako tayari kufa ama kuona damu inamwagika ili ukombozi upatikane kwa maana ya CCM kung'ooka.Tumekuwa tukiwapa moyo
wapiganaji wenzetu Arusha na haya maandamano ya kanda ya Ziwa.
Tukiwa great thinkers na kama sehemu muhimu katika hizi movement,sasa badala ya wapenzi wetu kutusoma tu,tumeona ni wakati muafaka na sisi kukutana na kutoa tamko rasmi siku ya tarehe 9/3/2011 saa 9.30 Asub Ubungo Plaza ambapo mkutano huu utakuwa na coverage ya kutosha .Kufanya hivi kutaongeza na kukuza imani kubwa kwa Watanzania kuwa tupo pamoja nao na kweli ni wapiganaji wa kweli,tupo tayari kufa kwa sababu ya Dr. Slaa na Freeman Mbowe na wala wasidhani kuwa sisi ni waoga na watoa sauti nyuma ya pazia.

peeeeeeopleeeees Power!
Kha! wewe mwenzio nani?
 
Back
Top Bottom