RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 3,662
- 6,906
1. Mpeni maiki mzee Warioba aitishe mchakato wa Katiba Mpya kuanzia Sasa, Lissu na Polepole wateuliwe Moja Kwa Moja kuwa wabunge wa mchakato wa Katiba Mpya, watoke huko walipo Hadi Bungeni. Wawekwe safe house chini ya uangalizi wa Serikali kwa usalama wao, wanafamilia pekee waruhusiwe kuwaona. Mchakato uende Hadi 2027 ndipo muitishe uchaguzi mpya kwa Katiba Mpya! Wafungwa wote wa kisiasa waachiwe kwa sharti la kutosema chochote kile kwa wanahabari!!
2. Staafisha watumishi wa umma wenye miaka 45 na kuendelea. Walipwe mafao ya kustaafu toka mfuko wa dharura wa Bunge kwa kukata mishahara nusu ya wabunge ili kufanikisha ulipaji wa mafao! Halafu zile nafasi zilizoachwa takribani zaidi ya 100,000/= tangaza ajira mpya za mikataba ya miaka mitano mitano kwa graduates wapya kufidia nafasi za wastaafu!
Baada ya mikataba ya waajiriwa wapya kuisha mtaajiri wengine kuchukua nafasi ya wale laki moja wenye mikataba, hii itasaidia kuondoa tatizo la ajira! Pia wale watumishi wenye miaka chini ya 45 wakifikisha miaka hiyo wastaafu, kifupi ajira za maisha Hadi 60 zifutwe kabisa Ili kutoa fursa ya vijana kupata mitaji ya kujiajiri kupitia ajira Kwa miaka mitano. Utaratibu wa mafao Yao uwekwe Ili wakimaliza mikataba wapewe fedha zao!!
3. Fungua kesi mahakamani hasa za jinai Kwa watekaji (lazima wawepo wa kuwatoa sadaka) Ili wafungwe kupoza hasira za wananchi! Hii itasaidia serikali na chama kujisafisha na kuleta imani Kwa wananchi!!
4. Futa mariadhiano coz hayana tija kwa kile kilichotokea October 29, andaa Bunge la Katiba Mpya Warioba awe nyota, huku CCM ikijiandaa na Uchaguzi mwakani!
Mageuzi hayakwepeki Kwa sasa! Mshale umeshatoka hauwezi kurudi ,tutafute namna ya kupoza Hali iliyopo coz inatisha!
NB ;-
Nimeiona clip ya askari akilia Baada ya kumpoteza mke wake, matukio kama haya yakizidi Jeshi la Polisi litashindwa kutii amri na Serikali itaanguka coz baadhi yao watashawishika kuunga mkono TFF Ili familia zao ziwe salama!!
Mimi kato nawashauri kuliko kuendelea na vitisho na matamko plus matumizi ya nguvu, yatasababisha machafuko na hata nyie mtakua wakimbizi wa kisiasa nchi jirani!!