Wito: Tumpe Pole Dr. Ulimboka!. "Hata JK, Atakwenda Kumpa Pole!.

Honestly Pasco I like your style and you are such a charmer!

Kwa kweli hutabiri bali unabashiri kitu ambacho ni wazi ya kuwa Mh ataenda kumwona. He is a people's person. No matter
what lazima aende kumjulia hali. Watanzania wote wanapenda kumjulia hali na wanampa POLE.

Ila nakubaliana na wewe kwamba many great thinkers must have wisdom. Hii issue ni sensitive sana hivyo busara inatakiwa when discussing.
Dr ULI Mwenyezi Mungu atakuafu, Amina.
 
Unachokifanya wewe ni kukimbiza upepo au kwenda kuikausha bahari, sidhani kama utafanikiwa kwa hilo. wewe endelea tu kunufaika na huu mfumo kandamizi wa CCM lakini note it kwenye Ubongo wako kwamba ur days are numbered.
Ni CCM peke yake ndio imebakia madarakani katika vyama vyote vilivyokuwa tawala barani Afrika. unapaswa kujiandaa kisaikolojia kuanzia sasa.


Hivyo vilivyopo sasa vinavyotawala sio vyama tawala? sijui ulikuwa unataka kueleza nini? umechapia!
 
Pole Preta, nimesisitiza sio lazima iwe ni inside job!, it migh be an "amaizing coincidence"!. Nijuavyo mimi, wale vijana wa kazi!, They never do incomplete job!. They have 1001 ways to do "mission complete" za vanish without trace!, kuliko hii "mission imposible" iliyotokea!.

Utaifa "patriotism" ni kupenda nchi yako na watu wake wakiwemo ...!.

No Human is PERFECT.... Wamechemsha.... Hata NAVY SEALS (the Best Human Force on Earth) huwa wanachemka...
 
Ukifuatlilia kwa makini tulikio lenyewe lilivyotokea na baada ya tukio, Nashawishika kuamini is inside job, unless proved other wise beyond any doubt.
 
Get well soon Dr Ulimboka!
Ila Pasco umenichekesha, umaanisha wende kumuona Dr kisa eti JK naye ataenda.
Eti natabiri JK ataenda MOI nami natoa wito JF kwa umoja wetu tuende.
Umeniacha hio mkubwa. Twende kasababu JK ataenda au ni ubinadamu tu hata kama JK hataenda.
 
Kupigwa kwa Dr. Ulimboka, kumepelekea kutengenezwa kwa "conspiracy theories" mbalimbali kuhusu tukio hilo, na wengi ambao sio deep thinkers, wamesha reach conclusion kuwa hiyo ni "inside job" na imefanywa na vijana wa 'sehemu' wajulikanao kama "the oparatives" ndani ya 'sehemu'!, hivyo ni muhimu sana rais JK kama Amiri Jeshi Mkuu, kwenda kumfariji Dr. Ulimboka, with "genuine heart felt feelings za pole" katika move ya kuuthibitishia umma kuwa uvamizi ule is not "inside" job, bali umefanywa na wahalifu, kama uvamizi mwingine wowote!

Pasco, can you share any one of those conspirancy theories? Mimi binafsi bado sijajua kama zipo.
 
Nafikiri Nyuzi nyingine zinaanzishwa makusudi kupima public opinion.

Wambie tu kwamba Kitendo hicho walichokifanya kimezidi kuwatenga na wananchi na hakitawasaidia na hata kama wangefanikiwa kummaliza isingewasaidia.

Kinachotakiwa ni kutatua kiini cha matatizo na sio mabavu

Halafu zinaeleza mambo ya kufikirika kama ya Bulicheka...kwenye tukio kama hili kwanini papara ya kusema this or that...with time we will know alot from what happened. Tusianze stories bila kuwa na facts upande gani ndio unahusika
 
Get well soon dr.....
sijui kwa nini habari hii imenijengea kinyongo kibaya namna hii na serikali yangu.......

Preta, kama ungeliingia ndani ya moyo wangu ungekumbana na giza nene juu ya serikali hii na mambo yanayoendelea. Yaani kila tunavyoenda mbele ndio tunazidi kuona matakataka ya jinsi gani wanaotuongoza walivyo. Kweli acha liwalo na liwe!
 
Sisi wanyonge ndo wakati wetu wa kufa umefika mana mafahari wa2 wanagombana sasa serikali na madaktari sijui tutakuwa wageni wanani bora ningezaliwa syria.
 
kwanini ulimboka? wawafanyie basi na hao mafisadi papa wanaokula kodi zetu kwa manufaa yao wenyewe? Ulimboka ana kosa gani? au kwa tz cku hizi haki tunaenda kuidai mbinguni?maana kama una haki kwa ajili ya wengine unanyamazishwa tuelewe nini ? jamani tumwogopeni mungu tunakoelekee sasa si kuzuri kabisa .Mungu ibariki Tz MUNGU MPONYE DR STEVEN ULIMBOKA.
 
Pole Preta, nimesisitiza sio lazima iwe ni inside job!, it migh be an "amaizing coincidence"!. Nijuavyo mimi, wale vijana wa kazi!, They never do incomplete job!. They have 1001 ways to do "mission complete" za vanish without trace!, kuliko hii "mission imposible" iliyotokea!.

Utaifa "patriotism" ni kupenda nchi yako na watu wake wakiwemo ...!.

Hata useme vipi, hii ni inside job na JK akienda kumjulia hali basi yatakuwa ni kama vile alivyofanya kwa Kubenea alipomwagiwa Tindikali. Je utasema ile haikuwa inside job? Do not be fooled easily!!!!

Tiba
 
JK kwa unafiki wake lazima ataenda tu. I hate JK FOREVER.

natamani hata ningezaliwa paka ulaya.wenzetu wanaelewa zaidi haki ya mtu kuishi.hapa kwetu watu wetu wanateshwa na kuuwawa kila siku kwa maslahi ya matumbo ya wakubwa.huyu ulimboka kafanya nini jamani?kuwa kiongozi ndio nongwa"madactari ni watu wasomi na wenye akili timamu'je waweza danganywa na mtu mmoja?tumieni akili zenu sawasawa acheni kutumia matumbo yenu kufikiri.kova anachunguza nini'majibu anayo mwenyewe ulimboka aache kutumia pesa zetu kuchunguza majibu tunaomba hizo pesa zikawalipe madactari.ila dhambi hii haitaliacha TAIFA.
 
MIMI naomba nielezwe amani tunayosema iko tz ni ipi ? i ya kutekana na kupigwa na kutelekezwa porini 2. kuwekeana sumu au ni ipi jamani watanzania wenzangu? enyi watanzania nani kawaloga
 
Pole Sana Dr Ulimboka and get well soon. I am just thinking aloud - "Is it possible that the so called "the Operatives" walidhania the Mission was Accomplished, forgetting that they were dealing with a doctor who could trick them into thinking he was dead while he actually wasnt'? :thinking:
 
Get well soon Dr Ulimboka!
Ila Pasco umenichekesha, umaanisha wende kumuona Dr kisa eti JK naye ataenda.
Eti natabiri JK ataenda MOI nami natoa wito JF kwa umoja wetu tuende.
Umeniacha hio mkubwa. Twende kasababu JK ataenda au ni ubinadamu tu hata kama JK hataenda.

Anamaanisha Raisi na Amiri Jeshi Mku atawaongoza wananchi katika kumjulia hali Uli...., kama ilivyo protokali.
HII NI KAWAIDA YETU
 
Mkuu asante kwa huu uzi.

Nimekuelewa vizuri sana and I hope watu/vijana wa 'sehemu' wameusoma huu ujumbe mzito na waufanyie kazi. Nina uhakika kuna sacrifices zitatokea. Watch the space.
 
Pasco, can you share any one of those conspirancy theories? Mimi binafsi bado sijajua kama zipo.
Mkuu Ndahani, nimeziweka mbili hapa
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/284602-mkasa-wa-dr-ulimboka-inawezekana-kabisa-sio-inside-job-bali-ni-smear-campaign.html#post4139672
 
Mkuu Ndahani, nimeziweka mbili hapa
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/284602-mkasa-wa-dr-ulimboka-inawezekana-kabisa-sio-inside-job-bali-ni-smear-campaign.html#post4139672

Pasco, asante sana nimeziona na digest mambo taratibu.Mambo mazuri hayataki papara maana unaweza kukosea kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Hata akienda sidhani kama atapokelewa, wale ni madokta wa ukweli sio wa kutunukiwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom