Unajua wito wako? Je, unaishi kusudi la kuumbwa kwako?

Mandela5599

Member
Jul 28, 2020
65
278
Hello wanajamii!!

Kila mmoja wetu anafahamu maana ya mission na vision. Ni ngumu sana kuwa na vision na mission kama hujui wito wako.

Wengi wanapiga issue flani kwenye maisha ila siyo kitu hasaa Mungu alicho mkusudia. Many of us we are copying from others kwa sababu mbalimbali. Mfano ndugu yako alisoma sheria na akafanikiwa so unaamua kusoma ili uwe kama yeye lakini sheria siyo wito wako..hali hii ipo kwenye biashara, watumishi wa Mungu n.k

Katika maandiko Mungu aliwahi kusema na nabii wake maneno haya "kabla sijakuumba, nalikujua, nalikutakasa, nalikufanya kuwa nabii wa mataifa...."

So wakati bado hatujaumbwa kimwili Mungu alitujua na aliandaa kitu cha kufanya kabla ya kuja kwetu huku duniani. That's what we call wito or calling

Let's imagine Mungu alitaka uwe Rais wa nchi but ulishindwa kuishi kusudi lake na sasa upo mtaani unazunguka tu!!! Wewe ni Dr, mwlm, Engineer, bodaboda, machinga, mhubiri n.k huo ni wito wako? Au umejipangia tu au ume-copy kwa watu?

Kufanikiwa mwanzo kwa unacho kifanya si kipimo cha hicho kitu kuwa wito wako!! Unaweza kupata billions of money yet that thing is not your calling. Kwenye mashindano ya riadha huwezi kujiita mshindi katikati ya mbio. Mwisho wako should tell us everything. Zikitokea changamoto kwenye safari ni ngumu sana kustahimili if what your doing is not your calling..

Vijana wengi hawajui wito wao, hajui kama yeye ni mfanyabiashara au mfanyakazi au mhubiri au mwanasiasa. Usikubali kutumika kwenye wito wa watu wengine, kwenye wito wako kuna kila kitu kizuri kama ukiujua

Nifanyeje basi niujue wito wangu? Mtafute Mungu kwa bidii, ndipo mema yatakapo kujia. Hakuna namna nyingine
 
We tupige kazi kwa mikakati tu, achana na habari za wito utachelewa sana na hizo nadharia ombea ukifanyacho basi
 
Vijana wengi hawajui wito wao, hajui kama yeye ni mfanyabiashara au mfanyakazi au mhubiri au mwanasiasa. Usikubali kutumika kwenye wito wa watu wengine, kwenye wito wako kuna kila kitu kizuri kama ukiujua
SoMo zuri sana hasa kwa MATAGA
 
Back
Top Bottom