Wito: Tujiondoe CHADEMA

Wito: Tujiondoe CHADEMA

kushabikia sera za chama chenye kuleta nuru mpya inayong'ara kutupeleka katika nchi ya asali hakuhitaji uwe na kadi ya chadema.please funguka na ujiunge na vijana na watanzania katka kuleta mabadiliko ya kweli
 
Hao ndo Chadema...matusi badala ya kujenga hoja
 
sitoki sasa na ntapigia kura huko we vipi unataka tuhamie wapi sasa?mbona wa ccm huwashauri JIPANGEEEEEEEEEEEEEEE
 
ha....haa...aahaaa......thithiemu wanakufa vibaya......wanaweweseka na sasa wamekwisha labisa MUNGU ibariki tz na uwalaani wezi wa ccm wakasambaratike kabla ya 2015.....AMEEEEN
 
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.

Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.

Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.

TANZANIA:Nakupenda sana.

Mtu wa Nape,
Kwani wewe uliingia na nani huko CHADEMA?
Je, ni nani aliyekuambia kuwa CHADEMA inajiona iko sahihi?
Mbona unaongelea ...mjitoe, wakati maelezo yako yanadai...wao CHADEMA....!!!
Kama CHADEMA inao mashabiki wengi wasio wanachama je, mbona wanashinda Chaguzi mbalimbali?

TAKE NOTE:
CHADEMA, ina nguvu Kubwa mno tena inatosha waambie walokutuma wawe wepesi wa Kusoma Alama za Nyakati.
Kumbuka wakishakutumia hao akina Nape utatupwa kama....Ko@n*O%U !!!
 
nakumbuka kuelekea uchaguzi mzee mwanakijiji alitoa uzi ulio kuwa unakemea watu kuwa neutral sasa leo wewe unatuambia tuwe neutral kwa hoja za kimasaburi saburi, nenda kawaambie vijana hatuna muda wa kurudi nyuma na hatutafuti chama cha malaika, tumaini letu kwasasa ni chadema siku wakituzingua tunapiga chini tunatafuta chama kitakcho kuwn mlengo mazuri wa watanzania lakini kwasasa ni chadema
 
Mwaka 1979 profesa Mazrui alisema kuwa watanzania wameathiriwa na ugonjwa aliouita 'tanzalphilia' Ugonjwa huu ni wakuona kila kitu chetu ni kizuri kuliko chochote [siasa, utamaduni,sera za uchumi n.k] aidha afrika au dunia nzima.
tulimmbeza sana lakini sasa hata mimi ninaamini alichokisema ni kweli kabisa kwani tabia hii imetufanya tushindwe hata kuchambua mambo. Mwanachama wa ccm atammbeza wa upinzani hata kama alichosema ni hoja nzuri na Chadema na vyama vingine ni hivyo hivyo. kama hatutobadilika [hasa vizazi vipya] basi tumeangamia maana wenzetu wanakimbia sisi bado tunapiga soga tu.
Nilikuwa kigali last month ile nchi inavyokwenda is unbelievable na kwa sasa hasa wale waliokwenda kile kipindi cha matatizo hawawezi kuamini kama kama hiyo ni rwanda. Miaka 5 ijayo itakuwa mbali na kutupita vibaya sana be it kwenye elimu, afya, nguvu kazi, uchumi, kilimo etc you name it bado watakuwa ahead.
Na sisi kazi yetu ni kupingana tuu.
 
Ondoka wewe, hatuondoki mpaka tuone muujiza Mungu ameshatuahidi ukombozi sasa ni sisi tu kuwa wavumilivu. Tukishindwa hapa basi life has gone Tanzania will never change. We are at the peak of changes. Kilichobaki ni kuona nchi ya ahadi yenye maziwa na asali na kufunguliwa na kuwa huru kutoka kwenye minyororo ya ccm.
 
mapovuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mtu wa Nape,
Kwani wewe uliingia na nani huko CHADEMA?
Je, ni nani aliyekuambia kuwa CHADEMA inajiona iko sahihi?
Mbona unaongelea ...mjitoe, wakati maelezo yako yanadai...wao CHADEMA....!!!
Kama CHADEMA inao mashabiki wengi wasio wanachama je, mbona wanashinda Chaguzi mbalimbali?

TAKE NOTE:
CHADEMA, ina nguvu Kubwa mno tena inatosha waambie walokutuma wawe wepesi wa Kusoma Alama za Nyakati.
Kumbuka wakishakutumia hao akina Nape utatupwa kama....Ko@n*O%U !!!

Read between lines...nimeshauri mashabiki walio fumba macho kwa kutoona makosa ya chama chao na kujisahihisha ndio "wajitoe chadema" kwa maana waache ushabiki wa kipumbavu na kushabikia chama kwa akili zao zikiwa kazini!
Ushabiki wa ku let kila kitu chama kifanyacho ni sahihi hakusaidii chama wala nchi yetu.
 
Una akili sana wewe. Huu ushabiki is too much, sasa naona umeshika kasi. hakuna aliye mtakatifu hapa duniani sasa iweje hawa wanaojiita wanachadema wasione mapungufu ya chadema? au ndio kusema hayapo? acheni ushabiki bwana wekeni maslahi ya taifa mbele.

Maslahi ya Taifa kama yapi kwa mfano ambayo CHADEMA (au mashabiki wake) hawayatilii maanani?
 
nakumbuka kuelekea uchaguzi mzee mwanakijiji alitoa uzi ulio kuwa unakemea watu kuwa neutral sasa leo wewe unatuambia tuwe neutral kwa hoja za kimasaburi saburi, nenda kawaambie vijana hatuna muda wa kurudi nyuma na hatutafuti chama cha malaika, tumaini letu kwasasa ni chadema siku wakituzingua tunapiga chini tunatafuta chama kitakcho kuwn mlengo mazuri wa watanzania lakini kwasasa ni chadema

Nimependa hoja zako mkuu,ingawa hujanisoma vyema!
Kimsingi nazungumzia mashabiki "kujitoa chadema" kwa maana ya kushabikia positively😛enye kutoa pongezi na watoe,lakini penye kukosoa pia wafanye hivyo!
Hii itajenga zaidi chadema na pale kitakapo fanikiwa kuchukua dola,basi kitakuwa chama makini na hapa maslahi ya nchi yetu yatakuwa yamefikiwa.
 
Ni kweli kabisa nadhani unadhani hata MaHAKIMU huko Igunga wanashabikia Chadema???!! CDM ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Bora ungekaa kimya kuliko kutuletea utumbo wa mjusi kama huu.




yani huyo jamaa ni hamnazo kabisa,na si ajabu ukija mfuatilia kwa karibu sana utamkuta ndiyo wale watoto au amabao wazazi wao maisha yao ni ccm.
 
nafikiri nilivyomuelewa muanzisha uzi ni kwamba pale ambapo kuna kuteleza ndani ya chama wahusika waambiwe ili chama kizidi kujengeka. baadhi ya wanaJF wamekuwa wakieleza wazi CDM ifanye nini katika masuala mbalimbali yanayoonekana kuwa ya hovyo ndani ya chama (mfano ishu ya Tuntemeke, Shibuda na masuala mengineyo)

ila hilo la kujitoa, mh sielewi wajitoe kwenda wapi maana mashabiki sio wanachama sasa wanajitoa kuelekea wapi na vilevile chama ni wnachama na mashabiki...
 
Back
Top Bottom