Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,276
- 2,981
Hatuna Rais, uchaguzi haukufanyika mwaka huu.
Hutuba ni moja tu tutakayo isikiliza na kumuelewa akitangaza kujihudhuru. Tofauti na hivyo nakujirisha upepoKwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI
Wito wangu kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu
Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth kulegalize bangi??
Mkubwa! wewe ulitaka wananchi wafanyeje labda kama unazani tatizo pia lipo kwa wananchi?Kuna kitu hakipo sawa kwa Watanzania naona, kuanzia viongozi hadi wananchi.
Ni kama wapo kwenye Autopilot mode fulani na tuelekea kwenye uharibifu alafu hakuna mtu anae taka ku save situation.
Wananchi wako sahihi kuandamana ila iwe kwa amani. Mipango ya watu kuchoma vitu, au kuua wenzao kisa misimamo ya kisiasa sio sahihi hata kidogo.Mkubwa! wewe ulitaka wananchi wafanyeje labda kama unazani tatizo pia lipo kwa wananchi?
Kwenye mambo kama haya inatakiwa vyombo vya ulinzi ndio vilinde waandamanaji pamaja na mali zao na kuhakikisha hakuna uvunjifu wa amani katika maandamano hayo, je kwenye maandamano hayo vyombo vya ulinzi vilifanya kazi yao?Wananchi wako sahihi kuandamana ila iwe kwa amani. Mipango ya watu kuchoma vitu, au kuua wenzao kisa misimamo ya kisiasa sio sahihi hata kidogo.
... we don't want croc tears no more!
Umeona viburi tunalekea kwenye shimoKuna kitu hakipo sawa kwa Watanzania naona, kuanzia viongozi hadi wananchi.
Ni kama wapo kwenye Autopilot mode fulani na tuelekea kwenye uharibifu alafu hakuna mtu anae taka ku save situation.
Sina hakika kama vi Gen-Z vitamsikiliza!Kwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI
Wito wangu kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu
Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth kulegalize bangi??
Rais yupi we taahira ,hii nchi shithole ina serikali au kundi LA vibaka wauaji ? ,ShenziKwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI
Wito wangu kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu
Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth kulegalize bangi??
Cha msingi tarehe 8/12 uwe umenunua mahitaji muhimu walau ya wikiKwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI
Wito wangu kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu
Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth kulegalize bangi??
*** wewe,mtu mwenyewe umekimbia nchi upo kwenye nchi zilizojengwa na wengine, halafu unahamasisha uharibifu ufanyike huku,tumetumiw miaka 15 kujenga nyumba za kuishi,tunadaiwa WB na IMF kujenga miundombinu,we unataka tuharibu kufurahisha nafsi yako tu,ucchi wa mamaako!Mkuu,
Inawezekana uharibifu unahitajika iki Watanzania wakae sawa.
Nchi zite zikiziendelea zimepitia uharibifu mkubwa hakafu watu wakaheshimiana.
Huko Ufaransa wameuana kwenye The French Revolution mpaka wakatengeneza li mashine la kuchinjana linaitwa Guillotine.
Uingereza wameuana sana.
Marekani wamepigana Civil War.
Japan wamepigana sana huko kina Tokogawa kwenye Meiji Refirmation.
Ulaya nzima na Marekani wamepigana sana kwenye vita kuu mbili za dunia.
Sisi tumekuwa nyoronyoro sana hatuheshimiani.
Tulitakiwa tujifunze kwa hawa wengine na kufaidika kuishi jistaarabu bila kuuana.
Lakini watu wakiwa wastaarabu, viongozi wajinga wanawaonea.
Kwa hiyo labda tunahitaji kupigana ili kukaa sawa.