WITO: Kwa yeyote anayehusika

kwenda kwa:mad:Baba V
kutoka kwa Chimbuvu & Madame B
tarehe:27/11/2012

tunashukuru na tunafurahi kusikia mpango wako kutupeleka katika kamati for screening na kwa maamuzi zaidi.
tunakiri tupo katika mahusiano na tayari watu wanalifahamu hilo,kwa kweli tunaheshimu kiti ama nafasi uliyokalia na tunatumaini hekima itatawala katika maamuzi yako.
kuna maswali tunaomba tujibiwe mimi na mwandani wangu Madame B ,lakini kabla sijakujibu naomba rejea kauli yako kutoka katika thread iliyopita ya kutengua uhusiano wangu na Madame B rejea barua tuliyokuandikia na jibu lako lilikuwa hili,(Kwanza kabisa mnatakiwa kuwasilisha nia yenu kwa kamati ya SCREENING ambayo iko chini ya Mamndenyi akishirikiana na The Boss na Ruhazwe JR , hatua zingine zitafuata kutokana na matokeo na ripoti ya kamati ya SCREENING.Kila la heri katika kutekeleza hilo).
maswali yetu yanakuja 1.je ni kosa la kisheria kuwa katika mahusiano? 2.suala la wapenzi kujitambulisha ni suala la kamati ama ni hao wapenzi watakapoamua?kama ni kamati je nyie ni madalali wa mahusiano?kama sio kwa nini muwapelekeshe wapenzi kujitambulisha hamuoni mnachukua nafasi ya maamuzi yetu?
wapenzi daima
Chimbuvu & @ Madame B
tunaomba utujibu hayo maswal kwanza kabla hatujaendelea na maswali zaidi?

https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ti-ya-madame-b-na-chimbuvu-3.html#post5098255

https://www.jamiiforums.com/member.php?u=34132https://www.jamiiforums.com/member.php?u=93459https://www.jamiiforums.com/member.php?u=80055https://www.jamiiforums.com/member.php?u=71917https://www.jamiiforums.com/member.php?u=29658https://www.jamiiforums.com/member.php?u=75985https://www.jamiiforums.com/member.php?u=83729https://www.jamiiforums.com/member.php?u=80055https://www.jamiiforums.com/member.php?u=12177https://www.jamiiforums.com/member.php?u=93459
 
Last edited by a moderator:

Chimbuvu na Madame B , kwanza kabisa niseme kuwa inaonekana hukuelewa niliposema muende mbele ya kamati ya SCREENING, kwanza ungetaka kujua kwenye kamati ya screening kinafanyika nini na hatua ambazo zingefuata ni zipi,ningekushauri u search uzi unaohusu kuundwa kwa kamati hizo na majukumu ya kila kamati, ukishayajua hayo utagundua kuwa hakuna dalali wa mahusiano ya watu na wala kamati haziingilii uhusiano wa watu bali zinafanya kazi kwa kusimamia taratibu zilizowekwa na hazijaanza na ninyi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom