WITO: Kwa yeyote anayehusika

WITO: Kwa yeyote anayehusika

Ndugu wana chit chat wote, Nikiwa mwenyekiti wa tume ya kuratibu mahusiano na ndoa hapa chit chat napenda kutoa wito kwa wahusika kama ifuatavyo.
i.Hapo kesho jumatano ya 28/11/012 nahitaji kupata ripoti ya SCREENING ya uhusiano kati ya Madame B na Chimbuvu ili niweze kupitia kwa ajili ya hatua zaidi. Natumai kamati ya Mamndenyi The Boss na Ruhazwe JR mpo na mmeshaiandaa
ii.Kamati ya sheria ya Judgement Ruttashobolwa na Kipipi pia nahitaji taarifa ya uhalali wa kisheria wa uhusiano wa Chimbuvu na Madame B .
iii.Kamati ya maadili chini ya BADILI TABIA naomba muandae tathmini ya nidhamu ya wahusika kwa kuzingatia mwenendo wa uhusiano wao na mwitikio wao pale walipokumbushwa mara kadhaa kuhusu hatua za kufuata ili kuhalalisha uhusiano wao.
iv.Wataalamu wa kitengo cha moving na still pictures babu Asprin na mzee Mtambuzi kaeni standby kwa ajili ya alhamisi nitakapokuwa nimetoa uamuzi juu ya wahusika
v.kamati ya masuto Zinduna cacico snowhite gfsonwin lara 1 ,FP pamoja na dereva wenu Nicas Mtei kaeni mkao wa kazi kwa ajili ya alhamisi.
vi. Bishanga nitonye Mungi , Arushaone , C6 , Filipo na tedo mnaombwa kuwa tayari kufadhili zoezi la siku ya alhamisi.
Pia napenda kuzikumbusha kamati za SCREENING kushughulikia haraka suala la Arushaone na Mamzalendo ,SHERIA kushughulikia haraka suala la Bishanga na The secretary .
Mwisho ninawaomba wana chit chat wote kutoa ushirikiano kwa tume kwa maamuzi yatakayofikiwa kwani yote ni kwa ajili ya kuhakikisha kuwa kila mmoja anafurahia maisha ya hapa chit chat.
Wakatabahu!
Baba V MWENYEKITI WA TUME YA KURATIBU MAHUSIANO NA NDOA CHIT CHAT 2012
Pamoja sana..
 
Nipo nasubiri maamuzi ya kamati. Na nimenayatekeleza majukumu yangu kama Baba V alivyoainisha. Msimamo wangu ni ule ule. "Ndoa na iheshimiwe na watu wote!"
 
Last edited by a moderator:
bora CUTE awe na mtu wake....nimechoka kubanana nae kwa my mtu chake......Yaeda wazima leo ndio tunazindua kisima.....mwenyekiti ameshafika toka jana.....
hahhaaaaaaaaaaa usijali mpz mm siko huko haata mm niko na interest ya kutest mdada so wakaka sina mzuka kivileeeeeeeeeeeee so relax hahahaaaaaaaaaaa! uko safe sweet
 
hahhaaaaaaaaaaa usijali mpz mm siko huko haata mm niko na interest ya kutest mdada so wakaka sina mzuka kivileeeeeeeeeeeee so relax hahahaaaaaaaaaaa! uko safe sweet

Say whaaaaaat!!
 
Back
Top Bottom