WITO: Kwa yeyote anayehusika

Madame B achana na huyo Chimbuvu kuna kontena mpyaaa zinaingia kule utambulisho nimeweka oda kwa Ulimakafu,Globu,Ritz na Bayyo wawalete theiya very new not so much used kama wakina Bishanga

Mambo si ndio hayo sasa.
Twen'zetu The secretary tukajiopolee viserengeti boy vibichii,
tuachane na hii mizee ya humu,
kwanza spring zao za viuno zimekatika.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hapo sasa wakati za wenzao zina speed ya panga boy

Nashanga na shanga zangu.
Raha yao hata gengeni wanaenda,sio mijanaume ya humu,hata kufua haifui.
Watupishe,hatujaolewa na TV sisi,kwetu mwenyewe nimviacha hvo Tv,kitanda,laptop,sofa,gari.
Nimeolewa na wewe hapo.
Sijaolewa na hvo vitu.
Tia kiuno grisi.
 
Mamndenyi niko chimbo nakula mema ya nchi naomba Theboss aendelee na ikiwezekana mwongezef nguvu afanye kazi.
 
Nashanga na shanga zangu.
Raha yao hata gengeni wanaenda,sio mijanaume ya humu,hata kufua haifui.
Watupishe,hatujaolewa na TV sisi,kwetu mwenyewe nimviacha hvo Tv,kitanda,laptop,sofa,gari.
Nimeolewa na wewe hapo.
Sijaolewa na hvo vitu.
Tia kiuno grisi.

yashakuwa hayo
 
Back
Top Bottom