WITO: Kwa yeyote anayehusika

Unaona poa tu hayo uliyoyasema!!?? hebu ajitokeze wa kutestiwa niwaone
hakuna hayo ni yakumfanya preta awe na amani jamani mana kila siku nikija mtaa anaoishi basi preshaa juu ndio mana nimemuambia ivo ili akiniona awe na amani na mtu chake
naona mumesahau tuko chit-chat
 
Unaona poa tu hayo uliyoyasema!!?? hebu ajitokeze wa kutestiwa niwaone
haya sasa back toze topic nishampata madame b mbona na ashakubali mda tu sema mm sijapata nafasi so preta awe na amani na mtu chake no one is coming to her way .....ajilie taratiiiiiibu asije kabwa bure kisa cute...ila kuna siku nitamuhitaji mtu chake so i will take him na kumrudisha bila yy kujua,,, alafu nashanga preta unaniogopa akati ulishakubali share
 
Back
Top Bottom