WITO: Kwa yeyote anayehusika

Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,492
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,492 1,250
Ndugu wana chit chat wote, Nikiwa mwenyekiti wa tume ya kuratibu mahusiano na ndoa hapa chit chat napenda kutoa wito kwa wahusika kama ifuatavyo.
i.Hapo kesho jumatano ya 28/11/012 nahitaji kupata ripoti ya SCREENING ya uhusiano kati ya Madame B na Chimbuvu ili niweze kupitia kwa ajili ya hatua zaidi. Natumai kamati ya Mamndenyi The Boss na Ruhazwe JR mpo na mmeshaiandaa
ii.Kamati ya sheria ya Judgement Ruttashobolwa na Kipipi pia nahitaji taarifa ya uhalali wa kisheria wa uhusiano wa Chimbuvu na Madame B .
iii.Kamati ya maadili chini ya BADILI TABIA naomba muandae tathmini ya nidhamu ya wahusika kwa kuzingatia mwenendo wa uhusiano wao na mwitikio wao pale walipokumbushwa mara kadhaa kuhusu hatua za kufuata ili kuhalalisha uhusiano wao.
iv.Wataalamu wa kitengo cha moving na still pictures babu Asprin na mzee Mtambuzi kaeni standby kwa ajili ya alhamisi nitakapokuwa nimetoa uamuzi juu ya wahusika
v.kamati ya masuto Zinduna cacico snowhite gfsonwin lara 1 ,FP pamoja na dereva wenu Nicas Mtei kaeni mkao wa kazi kwa ajili ya alhamisi.
vi. Bishanga nitonye Mungi , Arushaone , C6 , Filipo na tedo mnaombwa kuwa tayari kufadhili zoezi la siku ya alhamisi.
Pia napenda kuzikumbusha kamati za SCREENING kushughulikia haraka suala la Arushaone na Mamzalendo ,SHERIA kushughulikia haraka suala la Bishanga na The secretary .
Mwisho ninawaomba wana chit chat wote kutoa ushirikiano kwa tume kwa maamuzi yatakayofikiwa kwani yote ni kwa ajili ya kuhakikisha kuwa kila mmoja anafurahia maisha ya hapa chit chat.
Wakatabahu!
Baba V MWENYEKITI WA TUME YA KURATIBU MAHUSIANO NA NDOA CHIT CHAT 2012
 
Last edited by a moderator:
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,806
Points
2,000
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,806 2,000
TAARIFA mwenyekiti! Nicas Mtei hayupo tunaomba dereva meingine
YATOKANAYO
kikao kilichopita niliomba kamati yetu tuongezewe mtu,naomba utangaze rasmi uwepo wa watu8 kwenye hii kamati
NAWASILISHA!
 
Last edited by a moderator:
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,153
Points
2,000
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,153 2,000
TAARIFA NYINGINE: My hezbend C6 hatoweza kufadhili zoezi la siku ya alhamisi, yupo busy na issue za kifamilia...

Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza....
copy to: Baba V na wafadhili wenzie kam Mungi, nitonye, tedo, Arushaone Filipo na Bishanga!!!
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Messages
4,398
Points
1,225
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2012
4,398 1,225
:rapture::rapture::brushteeth::brushteeth:
 
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,709
Points
2,000
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,709 2,000
Ndugu wana chit chat wote, Nikiwa mwenyekiti wa tume ya kuratibu mahusiano na ndoa hapa chit chat napenda kutoa wito kwa wahusika kama ifuatavyo.
i.Hapo kesho jumatano ya 28/11/012 nahitaji kupata ripoti ya SCREENING ya uhusiano kati ya Madame B na Chimbuvu ili niweze kupitia kwa ajili ya hatua zaidi. Natumai kamati ya Mamndenyi The Boss na Ruhazwe JR mpo na mmeshaiandaa
ii.Kamati ya sheria ya Judgement Ruttashobolwa na Kipipi pia nahitaji taarifa ya uhalali wa kisheria wa uhusiano wa Chimbuvu na Madame B .
iii.Kamati ya maadili chini ya BADILI TABIA naomba muandae tathmini ya nidhamu ya wahusika kwa kuzingatia mwenendo wa uhusiano wao na mwitikio wao pale walipokumbushwa mara kadhaa kuhusu hatua za kufuata ili kuhalalisha uhusiano wao.
iv.Wataalamu wa kitengo cha moving na still pictures babu Asprin na mzee Mtambuzi kaeni standby kwa ajili ya alhamisi nitakapokuwa nimetoa uamuzi juu ya wahusika
v.kamati ya masuto Zinduna cacico snowhite gfsonwin lara 1 ,FP pamoja na dereva wenu Nicas Mtei kaeni mkao wa kazi kwa ajili ya alhamisi.
vi. Bishanga nitonye Mungi , Arushaone , C6 , Filipo na tedo mnaombwa kuwa tayari kufadhili zoezi la siku ya alhamisi.
Pia napenda kuzikumbusha kamati za SCREENING kushughulikia haraka suala la Arushaone na Mamzalendo ,SHERIA kushughulikia haraka suala la Bishanga na The secretary .
Mwisho ninawaomba wana chit chat wote kutoa ushirikiano kwa tume kwa maamuzi yatakayofikiwa kwani yote ni kwa ajili ya kuhakikisha kuwa kila mmoja anafurahia maisha ya hapa chit chat.
Wakatabahu!
Baba V MWENYEKITI WA TUME YA KURATIBU MAHUSIANO NA NDOA CHIT CHAT 2012
Duo yangu na CUTE siioni hapa... What happened?
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
11,565
Points
1,250
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
11,565 1,250
TAARIFA mwenyekiti! Nicas Mtei hayupo tunaomba dereva meingine
YATOKANAYO
kikao kilichopita niliomba kamati yetu tuongezewe mtu,naomba utangaze rasmi uwepo wa watu8 kwenye hii kamati
NAWASILISHA!
Ahsante kwa kuwasilisha udhuru kwa niaba yangu. Mabinti wa Kinyarwanda wameni kip busy huku.
 
Last edited by a moderator:
Ruhazwe JR

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Messages
3,411
Points
1,195
Ruhazwe JR

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2011
3,411 1,195
taarifa,naomba nikili kuwa mimi ni x husband wa Madame B ,sizani kama ntaitendea haki kamati
 
Last edited by a moderator:
The secretary

The secretary

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Messages
4,155
Points
1,225
Age
32
The secretary

The secretary

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2012
4,155 1,225
napinga kamati ya Baba V iweje Bishanga ni mdaiwa wa talaka halafu tena awe mdhamini.corrupted
 
The secretary

The secretary

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Messages
4,155
Points
1,225
Age
32
The secretary

The secretary

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2012
4,155 1,225
Ndn umshauri kaka yako Bishanga.
Madame B achana na huyo Chimbuvu kuna kontena mpyaaa zinaingia kule utambulisho nimeweka oda kwa Ulimakafu,Globu,Ritz na Bayyo wawalete theiya very new not so much used kama wakina Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,492
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,492 1,250
napinga kamati ya Baba V iweje Bishanga ni mdaiwa wa talaka halafu tena awe mdhamini.corrupted

the secqetary , Bishanga atakuwa mdhamini kwenye suala la Chimbuvu na Madame B ,suala lenu lipo palepale linaendelea kujadiliwa,ondoa wasi wasi mama
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,295,821
Members 498,405
Posts 31,224,257
Top