my hubby miye sijaenda kwa Kaizer kwa makusudi nilienda kule kwa ajili ya maombi only baada ya
kuona sikuelewi elewi halafu sikujua kama hasimu wako mkuu samahani mpenzi sirudii tena.
Kutoka kwako?
Kivipi?
unamaanisha nini unaposema unawapa zaidi ya wanachohitaji? tuanzie hapo..
Njooon parokiani enyi nyote msubuliwao na kuelemewa na wapenzi wenu nanyi mtapumzika!
mtasaidiana tu usijali, mbona kaizer anao wake wanne bana na mambo yanaenda vizuri?
usiwe na wasiwasi kuhusu hilo wangu wa moyo! usijipe shida wakati mi nipo!
come-on-me sweetie! you are my everything you know! kwanza nilikutumia card ya pongezi kwa performance ya jana!
hivi uliiona honey? aisee nimejichokea hapa nilipo kama nini vile! aisee ninyi wanyantuzu si wa kuchukulia pole pole duh!!
Mnaanza kujadili siasa Chit-Chat??
miss neddy nae hakusita kukubembeleza kwa neno hilo... nawaangalia tu!baba paroko ilikuwa imejensi
Huyo dogo achana nae
na wewe nae ukamsisitiza mpenzi wangu aniache... !!! SASA SEMA.. UNAMTAKA?
Kwani wewe ulikua unamaanisha nini?
Wewe Mbona macho yako makavu sn? Au kwasababu unasema Uongo sn?
Tena Huyo kaa nae mbali kabisa! Atakukaanga Huyo!
umeona Eiyer ulivyoanza kuingilia mgogoro kati yangu mimi Excel, Kaizer na MPENZI WANGU WA UKWELI miss neddy?
miss neddy nae hakusita kukubembeleza kwa neno hilo... nawaangalia tu!
mkaendelea tu huku mi nawaangalia kwa makini!
ohoooooo mitala tenaaaa mhhhhhhhh hapana lazima mzigo utakuelemea
Unajua nilikuuliza nini?
komaa nao.....they are trying to count even my teeth bro!!! niache mpaka hilo?? nooo!!!
komaa nao.....
heshima yako ngosha... habari za sa hizi ?
habari ya kumwita kakaangu ngosha utakosa mwana na maji ya moto
umeshaingia katika imaya ya mtu tulia.....habari ya kumwita kakaangu ngosha utakosa mwana na maji ya moto
just chagua lililo zuri la kumplease Ntuzu