Witness from the front line: Hili zoezi la sensa mlioko juu msiporekebisha haya kwa haraka tegemeeni taarifa mbovu kuwahi kutokea

Ni kuchoshana tu, nilivyoona semina siku 21 nikajiuliza ni sensa gani hii kumbe muendelezo wa kuborobga kwao.
 
Mnatumia GPS ya kwenye simu au hizi Garmin GPS? Sijui mfumo mnaotumia lakini mimi nimeshiriki mara kadhaa kwenye zoezi la sensa ya miti msituni (forest inventory) kwa kutumia mfumo huo unaosema ambapo makarani wetu (wanavijiji) tuliwafundisha mambo yafuatayo

1.Matumizi ya smartphone ambayo imepakiwa program yenye dodoso la kuhesabia miti

2. Matumizi ya GPS ndogo ambayo iko connected na smartphone kwa blue tooth. Hii GPS inafanana na power bank ndogo na mtumiaji anaiwasha na kui connect na smartphone halafu anaiweka mfukoni.

3.Power bank mbili zenye uwezo mkubwa kwa ajili ya kuchaji simu na GPS mkiwa field. Tulitumia only one week kuwa train Hawa wanakijiji na kufanya mazoezi kwa siku mbili kabla ya kwenda msituni for actual exercise.

Baada ya hapo waliweza kwenda msituni kwenye plots maalum na wakifika kwenye plot husika anasimama center ya plot na kupima miti yote iliyoko kwenye hiyo plot. Mfano wa data anazoingiza kwenye dodoso ni : Jina la msitu, Kijiji, kata, Tarafa, wilaya, Mkoa, namba ya plot, plot size, hali ya msitu ulivyo kwenye hicho kiplot, vegetation types, kama Kuna uharibifu (moto, kilimo, miti imekatwa etc).

Data nyingine ni jina la mti, unene/kiuno cha mti, urefu wa miti 3 kwenye plot, idadi ya visiki vilivyopo na unene wake etc.. Ukumbuke kwamba dodoso limetengenezwa kukuongoza kuchukua data systematically kuanzia juu kwenye jina la msitu mpaka kwenye plot namba na mengineyo, ukiruka step huwezi kwenda hatua inayofuata maana entry inagoma. Kuna hatua ya kuchukua coordinates za plot, pia kuna hatua ya kupiga picha ya hicho kiplot. Mwisho kabisa inakuletea option ya kuedit and then SAVE.

Kama eneo la msitu ulipo kuna network hilo faili ulilosevu unaweza kulituma kwenda kwenye server iliyoko ofisini. Kama hakuna network pia haina shida, plot moja ikiisha na kuwa served kwenye simu, dodoso linaenda kwenye new page unaanza tena na plot ya 2,3,4 etc..mpaka hata plot 500.

Ninachotaka kusema ni kwamba kwa technology ya sasa ilipofikia ilitakiwa hilo zoezi liwe rahisi sanaaaaa... All in all pole sana... Hivi wanawapa nauli za bodaboda au baiskeli ya kukodi au ndiyo mguu kwa mguu? Maana vijijini nyumba ziko mbalimbali...
 
CCM wanataka Sensa ya kuombea fedha za kusomesha watoto wao Jana SHAKA amesema samia tutamchagua mpaka achoke mwenyewe Sasa Unategemea nini kwenye hiyo Sensa !
Wanazi wa Magufuri wakati ule wakisema atakuwa Rais mpaka afie pale mkawaona ni kunguni, leo shaka anaongea yale yale mnakenua aseee!!.
 
Kama lile zoezi dogo tu la kuandika vibao vya anuani ya makazi walilipua, hiyo ya sensa inayohusisha mpaka GPS naona ndio wataparua kabisa.

Japo sioni sababu kwanini huyo muhusika wa sensa arudi kwenye eneo la kuchukua data endapo hiyo GPS itafeli kama tayari data za eneo husika atakuwa nazo, kwanini asijaze tu maisha yaendelee..
 
Hao IT wako wenyewe hawaelewi hata hicho ulichogundua wewe ndio maana wanakua wakali
Shida ndio inaanzia hapo, mleta mada yeye amegundua tatizo la mfumo na anahitaji ufanyiwe marekebisho ila inategemea na huo mfumo umetengenezwa vipi? Shida ndio inaanzia hapo maana ili kufanya marekebisho kwa mujibu wa maelezo yake na nilivyomuelewa huo mfumo unabidi ufumuliwe tena upya uanze kufumwa upya kisha ufanyiwe marekebisho kwenye baadhi ya taratibu za mfumo, swali ni moja tu huo mfumo umetengenezwa from scratch na IT wa hapa hapa bongo au umetengenezwa na IT wa nje ya nchi (umenunuliwa kutoka nje ya nchi)?
 
Habarini wakuu , game la Simba na Yanga limeisha , hongera Kwa Yanga na Kwa Simba jipangeni upya bado game zipo na maisha lazima yaendelee.

Nianze Kwa kutoa kisa , wakat wa wa vita ya pili ya dunia moja ya Siri kubwa Kwa USA na washirika wake kupata ushindi ni kuwasikiliza waliokuwa front line yaani kwenye uwanja wa mapambano , na maoni Yao yalisikilizwa moja Kwa moja na high command na kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo bila mtu wa Kati kuleta siasa ...!! Waliokuwa kwenye battle zone Walitoa taarifa kuhusu Hali ya mapigano , intensity , wapi palipopungua , silaha gani miyeyusho na silaha za namna gani ziboreshwe , haya maoni ni katika idara zote za kijeshi kuanzia jeshi la ardhini ( marine) jeshi la majini (US navy) , na jeshi la anga (Airforce) , Marekani ilianza vita kama underdog Ila ikamaliza ikiwa superior and most feard nation.

Aliyeko front anajua exactly the horror of war...!! Kutomsikiliza Kwa sababu iwayo yoyte ile ili ni kuhalalishwa kushindwa.

Back to the topic , Mimi ni karani wa Sensa , katika mchakato mzima wa zoezi hili karani ndo mtu wa mhimu zaidi kuliko wote , yeye ndo anashuhudia Kwa usahihi what is real going on na kipi ni sahihi na wapi pa kurekebisha ,

Nipongeze serikali Kwa kuja na idea Bora zaidi ya kuendesha zoezi hili na Kwa kweli likifanikiwa hata Kwa 80% serikali itakuwa imekula bingo , aliyeleta mchakato Kwa idea hii nampa salute ,

Hata hvyo mchakato ni costful , Kwa haraka more than 600tsh billion zitaperish away kwenye huu mchakato , hela nyingi Kwa nchi hii ya kimaskini ...

In reality zoezi ni gumu hasa , linahtaji angalau semi skilled workers with high commitment , Viongozi wa ngazi za juu wamehamasisha Kwa nguvu zote huku mzigo mzito akiangushiwa karani , ...

Kwa maoni yangu makarani wengi mbali na kufanya kazi ya kuchosha bado Wana moyo wa kufanya na mwitikio ni mkubwa , tatizo ni matumizi ya software ya CS entry kwenye tablet , hii ni changamoto kubwa sana

Baada ya kufanya mazoezi changamoto hii imeonekana kuwa ni deadliest na itaharibu mchakato mzima kama haitafanyiwa kazi , nasema haya Kwa moyo wa kizalendo kabisa , makarani tulileta taarifa na tatizo kubwa karbu Kwa makarani wote ni hii software hasa matumizi ya ramani na uwepo wa GPS.

Imagine karani umetembea Kwa moyo mmoja mpak kwenye Kaya fulan mlimani , umefika unammkuta mama anafua akakupokea Kwa moyo mmoja akaacha kazi yake, ukatazama ramani ukajihakikisha GPS inasoma kwenye ramani , ukafungua dodoso la Kwanza , akaanza kukupa taarifa za waliolala kwenye Kaya ambao ni 12 , takriban masaa mawili umekaa naye akikupa taarifa , umemaliza unatafuta majira unapata , unasave unajikuta imesave nje ya ramani , .....!! Kwa mjibu wa Sensa hyo kazi yote inakuwa ni useless ,unatakiwa uende Kwa msimamizi ufute kazi yote akutumie mchakato upya na uende tena kwenye Kaya hyo uanze mahojiano upya ,

Cahangamoto zaidi inakuja kama Kwa sku nzima umehoji kaya 10 , na kaya 9 zote majira nukta (GPS ) yamesoma ndani ya ramani na moja imesave nje ya ramani Kwa mfumo wao wa software , hzo kazi zote zinakuwa invalid inabdi ufute kazi zote uwekewe kazi upya na uende ukarudie mahojiano upya kwenye Kaya zote , na endapo itatokea the same scenario , itabd ufute tena uanze upya .. ni kazi ngumu na ya kuchosha hasa kipindi hiki cha kiangazi , na kimbembe ni kuwa maeneo mengi karani ni mmoja Kwa kila kitongoji , ni mzigo mzito sana...ni uzalendo tuu utakaofanikisha hili zoez and not otherwise

Nawaambia live hakuna karani atakubali kufanya such kind of fucking process , tegemeeni data za kupikwa na zoezi Zima litapoteza maana ...

Tulileta mrejesho tukiwa na option Bora za kuboresha mana lengo ni kufanikisha , nikashangaa IT wa wilaya anajibu shit bila kujua Kwa undani hyo critical condition huku akitutisha makarani , ....

Kwa Sisi ambao tuko kwenye battle field tukawaambia wakubwa wetu kuwa huko juu ma IT wa Taifa wakeshe kuhakikisha wanaboresha hyo application ili iwe na option zifuatazo :-

1. Wakati ninahoji Kaya basi kuwe na signal kwenye tablet kama dot hvi au whatever yenye rangi ya kijani ili kuni-alert kuwa GPS inasoma ndani ya 3 meters kutoka pale nilipo...na kama sivyo ionyeshe rangi nyekundu kunitahadharisha kuwa GPS inasoma wrong place hvyo nifanye mchakato wa kuiweka Sawa

2. Option ya pili , in case ikatokea Kaya moja nimesave nje ya ramani , na Kaya zingine let say Kaya 10 zimesave ndani ya ramani basi kuwe na option ya kuiweka pending hyo Kaya moja , ili zingine niweze kuzituma alaf iliyozingua hyo moja ndo nirud badala ya kuzifuta zote na kuanza upya ....

Cha Kushangaza IT alisema tusitegemee option za namna hzo Bali tuongeze umakini,
Changamoto iliyopo ili GPS isome mahali uliopo unahtaji ufate step zaidi ya tano , hapo bado accuracy yake ni 70 % bado lolote laweza kutokea , na pia ni ngumu kufanya kazi kuanzia asubh mpak jioni ukafanya Kwa usahihi , kuna kujisahau ukapata error hyo , Yani hakuna option ya kurekebisha hyo moja, bali data zote zinakuwa nullified ....

Kama Hali ikiendelea hv , nini makarani wataenda kufanya , nimeenda let say Kaya X , nimehoji nikaambiwa wanakaya wamelalal 13 , nikajikunja kizalendo karbu hata masaa 2 au 3 kupata data Kwa usahihi , zen ikasave nje ya Raman , kurud tena Kwa mwanakwaya Yule umuachishe tena kazi yake ni bonge la nouma , nitakachokifanya nafuta hyo kazi sahihi , badala yake naenda kwenye hyo kaya nasimamia nje getini , napika data , ili nisichoke najiandikia watu 2 wamelala pale , ili nisave nitoke , na hzo tayar zinakuwa data ambazo ni invalid ...

Na hii kwenye mazoez watu wamefanya Sana , dada mmoja kahoji Kaya ya Kwanza ikasoma ndani ya ramani , nakahoji ya pili ikasoma nje , ikabd afute msimamizi amwekee kazi na Raman upya , akahoji tena moja ikakubali nyingine ikasoma nje , dada alitaman kulia , akaenda Kwa msimamiz akafutiwa kazi na kuweka ramani upya , dada alichokifanya akaenda sehemu akapika data , zikasoma ndani ya ramani akaleta Kwa msimamizi akapokea akatuma makao makuu data ambazo ni invalid ....

Mlioko juu jitahdini hili tatizo mlitatue , la sivyo huko kwenye viyoyozi , hao viongozi walioko huku wanawadanganya kuwa zoezi lipo poa but in reality ,ni disaster inaenda kutokea .....
View attachment 2323556
Hongerq sana mzalendo.
Yamkini umeuelewa mfumo huo kwa haraka sana na madhaifu yake. Kati ya sehemu ya kumulikwa haraka ni mfumo huo vinginevyo zoezi zima litachukua muda mrefu sana na lisiwe na majibu.
Serikali yetu ni sikivu, nina imani wataliona hili
 
Hawatakusikiliza coz wanakazana kulamba keki ya sensa huku makarani wakipewa wali maharage yanayonuka.

Kuna sehemu wamelipwa sh 200,000 tu siku ya 15 leo huku wakilala guest houses na kujtegemea chakula cha jioni.

Kile kibibi kinasisitiza eti uzalendo mbele. Hawajui magumu tupatayo wala roho ya huruma kale kabibi hakana.

Hapa ni punda afe mzigo ufike. Mzigo utafikaje wakati punda kafa?
 
Mnatumia GPS ya kwenye simu au hizi Garmin GPS? Sijui mfumo mnaotumia lakini mimi nimeshiriki mara kadhaa kwenye zoezi la sensa ya miti msituni (forest inventory) kwa kutumia mfumo huo unaosema ambapo makarani wetu (wanavijiji) tuliwafundisha mambo yafuatayo :1.Matumizi ya smartphone ambayo imepakiwa program yenye dodoso la kuhesabia miti 2. Matumizi ya GPS ndogo ambayo iko connected na smartphone kwa blue tooth. Hii GPS inafanana na power bank ndogo na mtumiaji anaiwasha na kui connect na smartphone halafu anaiweka mfukoni. 3.Power bank mbili zenye uwezo mkubwa kwa ajili ya kuchaji simu na GPS mkiwa field. Tulitumia only one week kuwa train Hawa wanakijiji na kufanya mazoezi kwa siku mbili kabla ya kwenda msituni for actual exercise. Baada ya hapo waliweza kwenda msituni kwenye plots maalum na wakifika kwenye plot husika anasimama center ya plot na kupima miti yote iliyoko kwenye hiyo plot. Mfano wa data anazoingiza kwenye dodoso ni : Jina la msitu, Kijiji, kata, Tarafa, wilaya, Mkoa, namba ya plot, plot size, hali ya msitu ulivyo kwenye hicho kiplot, vegetation types, kama Kuna uharibifu (moto, kilimo, miti imekatwa etc). Data nyingine ni jina la mti, unene/kiuno cha mti, urefu wa miti 3 kwenye plot, idadi ya visiki vilivyopo na unene wake etc.. Ukumbuke kwamba dodoso limetengenezwa kukuongoza kuchukua data systematically kuanzia juu kwenye jina la msitu mpaka kwenye plot namba na mengineyo, ukiruka step huwezi kwenda hatua inayofuata maana entry inagoma. Kuna hatua ya kuchukua coordinates za plot, pia kuna hatua ya kupiga picha ya hicho kiplot. Mwisho kabisa inakuletea option ya kuedit and then SAVE. Kama eneo la msitu ulipo kuna network hilo faili ulilosevu unaweza kulituma kwenda kwenye server iliyoko ofisini. Kama hakuna network pia haina shida, plot moja ikiisha na kuwa served kwenye simu, dodoso linaenda kwenye new page unaanza tena na plot ya 2,3,4 etc..mpaka hata plot 500. Ninachotaka kusema ni kwamba kwa technology ya sasa ilipofikia ilitakiwa hilo zoezi liwe rahisi sanaaaaa... All in all pole sana... Hivi wanawapa nauli za bodaboda au baiskeli ya kukodi au ndiyo mguu kwa mguu? Maana vijijini nyumba ziko mbalimbali...
Mkuu hii nchi ngumu Sana , Bora hata mfumo mlioutumia , upo simple , na friendly , huu mfumo wa CS entry actually not bad in such , but kuna error hyo ya GPS kusoma nje ya eneo ulilopo , wanacommand kutotafta majira nukta ukiwa chini ya mti, au ndani ya nyumba , hata kukiwa na poor visibility (atmospheric barrier ) unashangaa upo DSM majira nukta yanasoma Tanga ....

Shida inakuja kuna nyumba wanazengo wanaishi mstuni , ili utafte eneo la wazi kuchukua GPS inakulazumu uwe away kama Mita 800 hv kulipata eneo la wazi with clear sky ,...!! Yote Tisa kumi waweke option ya ku-ommit , GPS iliyoenda wrong badala ya kufuta kazi yote ....

Kama huko ofisi ya takwimu hawana IT proffessional , wawaite ma IT wa nje , badala ya zoezi Zima kwenda terrible wrong , Kwa kesi ndogo kama hyo , huku nchi inatumia multbillion Tsh
 
TATIZO LINGINE KUBWA LIPO KWA MAKARANI NA WAKUFUNZI, BAADHI YAO NI WEUPE PEEEE....!!

WAMEPEANA KAZI MWISHOWE INAENDA KUHARIBIKA.

WAMEKUJA MTAANI KWANGU KWENYE MAJARIBIO NI WEUPE AISEEE...
Mambo kama haya wawe wanaacha siasa , baadh ya wakufunzi Kwa kweli ni janga , huyu anakwambia ukiwa unatafuta majira nukta zungusha tablet , mwingine anakwambia inabd utulie usitingishike, mwingine anakwambia zima Kwanza location , mwingine anasema boost na internet , huyu anasema huruhusiwi kuwa na simu au kuweka laini kwenye tablet , yaan ni vurugu tupu sa sjui hyo internet unaipataje
 
Mimi pamoja na Babe wangu wa JF Sky Eclat tumeipenda sana hiyo picha ya 'Kaya'😁😁😁
Mkuu hyo Kaya ina wanakaya 30 , maswali Kwa kila mwanakaya ni Kati ya 70-100 kulingana na umri , jinsia na shughuli za kiuchumi , na ili upate data Kwa Usahihi hapo itakulazimu ukae masaa si chini ya matatu mpak ma nne , na hap umekabidhiwa kitongoji kizima na sku za kuhesabu ni sita tuu
 
Back
Top Bottom